zanzibar

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Nini sababu hasa ya Kura ya Mapema kwa wapiga kura wa Zanzibar wasiozidi laki 5?

    Zanzibar ina wapiga kura wasiozidi laki 5, Tanzania bara ina wapiga kura takribani milioni 29. Zanzibar yenye wapiga kura laki 5 watapiga kura kwa siku mbili yaani tarehe 27 na 28/10 wakati Tanzania bara yenye wapiga kura wengi 29mil. watapiga kura kwa siku moja trh 28/10 tu. Kwanini? Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Shule zote Zanzibar kufungwa kuanzia Oktoba 24 Mpaka Novemba 2 ili kupisha Uchaguzi

    Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na kufunguliwa tarehe 2/11/2020 kwa ajili ya kupisha Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu...
  3. JamiiForums Tanzania Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye

    Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
  4. JamiiForums Tanzania Msisitizo katika maendeleo kwa Serikali ya Awamu ya Tano kumeimarisha Muungano na amani Zanzibar

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

    Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Maswali ya Wazanzibari kwa CCM

    Ni vyema wawaambie Wazanzibari wameshindwa nini kuiletea Zanzibar maendeleo tokea 1977 wakati Chama chao kilipoanzishwa hadi leo? Cha muhimu zaidi, wawajibu Wazanzibari angalau Masuala 7 yafuatayo kati ya masuala zaidi ya 700 ambayo Wazanzibari wanayo: - Kwa nini walitumia Jeshi mwaka 2015...
  7. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi Zanzibar: Kura ya mapema (Oktoba 27) haitahusisha Askari wote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Mkuu mstaafu Hamid Mahmoud amesema kura ya mapema haitawahusisha wapiganaji wote wa vyombo vya ulinzi ikiwemo majeshi na Polisi, kama inavyodaiwa na watu wanaojaribu kupotosha ukweli na madhumuni ya kura hiyo. Alisema hayo wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Anguko la CCM litaanzia Zanzibar

    Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika. Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power. Sitegemei CCM...
  9. JamiiForums Tanzania DK. Hussein Mwinyi ndiye anayefaa kupewa urais Zanzibar, anazo sifa za kuulinda Muungano

    Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo anastahili kupewa nchi kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 28, Wanazanzibari kwa umoja wenu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif aahidi kuwalipa Wazanzibari wasio na ajira, asema ni jukumu la Serikali

    Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi wake, tokea wanazaliwa hadi wanaingia kaburini, Alitalia kwa kusema cheo ni dhamana na amana hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Toka CHADEMA ianzishwe haijawahi kuwa na ushawishi Zanzibar

    Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: CHADEMA kuendelea na kampeni za Urais leo Oktoba 04, huko Unguja, Zanzibar

    Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar. Wote mnakaribishwa. Maendeleo hayana vyama!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtu Mzima Dawa - Maalim Seif Sharif Hamad kuiponya Zanzibar na makovu ya CCM

    Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima kwa mtizamo wao hata Nyerere hafai ndipo Maria Nyerere alipowatemea mate na kuwapa neno lililowapa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kurudisha kiti chake cha UN baada ya Uchaguzi Mkuu - ACT Wazalendo

    Baada ya ushindi wa dhoruba unaoonekana bila ya chenga kuiangusha CCM, Maalim Seif Sharif amezidi kutoa matumaini ya uhakika kuwa kiti cha Umoja wa Mataifa cha Zanzibar kitahakikishwa kinarudishwa kama ilivyo katika mpira, maendeleo yameonekana ndani ya Afrika Masharikii, Zanzibar inatoa timu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Amani Abeid Karume huwa hatumiki kwenye kampeni za CCM Zanzibar?

    Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Nikimaliza urais, nitaoa mwanamke wa pili Zanzibar

    Wapwa, Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili. Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini Ali Hassan Mwinyi huwa hatumbulishwi kama raisi wa tatu wa Zanzibar badala yake hutambulishwa tu kama Rais mstaafu wa Tanzania .?

    Wapwa Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuanza kuchimba mafuta na gesi ndani ya Mwezi mmoja wa ACT wazalendo.

    Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani. Jambo ambalo limeshindwa kutekelezwa na Chama Cha Mapepari(CCM) kwa muda wa miaka 55,mapepari...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

    Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support. Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja. PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar PROMO:
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Zanzibar wako vizuri kuliko wa Bara kwenye mambo ya uchaguzi.

    Niwapongeze waandishi wa habari wa Zanzibar kwa namna wanavyofuatilia na kuripoti habari za uchaguzi. Mungu awabariki Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…