zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

    Wazanzibari leo wanapiga kura ya mapema ambapo makundi maalum wakiwemo Watumishi wa Tume ya Uchaguzi (ZEC) na Wasimamizi wa Uchaguzi watashiriki katika zoezi hilo. Mwenyekiti wa ZEC, Jaji Hamid Mahmoud Hamid amesema wanaopiga kura leo watatumia Vituo ambavyo wamejiandikisha, kura zao...
  2. JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu kura ya mapema Zanzibar

    Zanzibar Wanapiga kura ya mapema kwa watu maalumu na kura ya watu wote siku ya pili. Maswali kwa ZEC 1. Tume itabandika majina ya watu hao maalumu wanaotakiwa kupiga kura ya mapema kwenye vituo. Je, tume itayajuaje majina ya watu maalumu hadi iyabandike vituoni? 2. Kama tume inayafahamu majina...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maalim Seif atangaza kupiga kura leo badala ya kesho Oktoba 28

    MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya siku ya uchaguzi Oktoba 2020. Maalim Seif amesema hayo leo Jumatatu tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu kura ya...
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa ya yanayoendelea Pemba, taarifa hiyo imeandaliwa na Maalim Seif na kutolewa kwa Umma ======= Taarifa zilizothibitishwa kutoka Pemba zinasema wananchi watatu wameuawa kwa silaha za moto na Jeshi la Polisi kuelekea mwanzo wa upigaji kura siku ya kesho...
  5. JamiiForums Tanzania MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

    Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni bomu linalosubiri kulipuka, Watawala mkifanya kiburi halitoiacha nchi salama

    Kwa vyovyote vile Wazanzibari ni dhahiri wameshaamua lolote na liwe, ukisikia kauli za watu wa Zanzibar, vijana hata wazee wanaonyesha hawajali tena na roho zao zimeshakinai na wako tayari kwa lolote!. Zanzibar ya safari hii pengine ni Zanzibar iliyo bitter (uchungu) kuliko Zanzibar ya wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Maalim Seif anafunga Kampeni zake leo

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad hivi sasa yuko katika Kiwanja cha Mnazi Mmoja Unguja kuhitimisha Kampeni zake za kuelekea Ikulu. Maalim Seif akiingia Kiwanja cha Mnazi Mmoja Wanawake hawako nyuma katika shughuli ya kumpeleka Maalim Seif Ikulu...
  9. JamiiForums Tanzania Maalim Seif atikisa Zanzibar, Mnazi mmoja yajaza watu

    Mkutano wa kampeni wa Jabali Maalim Seif Kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja umehudhuriwa na Umati mkubwa wa watu pengine kuliko mkutano wowote uliowahi kufanyika Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze . Ushahidi huu hapa
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kusitishwa kwa usafiri wa boti Zanzibar na Bara siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 28

    Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28. Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo watatuletea mabadiliko? Msikie huyu Mwanamama wa Zanzibar

    Huyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli kama hizo. Naona miaka hii ya 2000 wanawake ndiyo watakuwa viongozi wa mapinduzi dhidi ya tawala...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: RVS online TV yafungiwa kwa miezi miwili kwa kutotoa uwiano sawa kwa vyama vya siasa

    Tume ya Utangazaji Zanzibar imefungia kituo cha RVS Online TV kwa kutoa habari zisizo na uwiano kwa vyama vyote vya siasa na kurusha maudhui yanayoashiria uvunjifu wa amani. Tume ya Utangazaji imesema ilikiita kituo kiliitwa mara ya kwanza Septemba 9, 2020 ili kujibu hoja za ukiukaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania, eti; Maneno haya ya kiarabu yana maana gani katika nembo ya "Zanzibar University" ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni kiingereza pamoja na Kiswahili? MAELEZO MACHACHE SANA KUHUSIANA NA "ZANZIBAR...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, sheria inaruhusu Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu kumpigia kampeni mgombea urais Zanzibar, Maalim Seif?

    Nafahamu kwamba sheria hairuhusu mgombea urais wa JMT mh Membe kumpigia kampeni mgombea urais wa JMT mh Tundu Lissu Hali ikoje pale Maalim Seif wa Zanzibar anapopanda jukwaa la CHADEMA na kumpigia kampeni Tundu Lissu? Au Tundu Lissu kumpigia kampeni Maalim Seif? Maendeleo hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yatangaza Tarehe 19 Oktoba kama siku ya mapumziko, Tarehe 28 imetajwa mapumziko, 29 kuwa siku ya kazi kama kawaida

    SMZ imetangaza Oktoba 18 na 19 kuwa siku za mapumziko ili kusheherekea maulidi Pia imetangaza siku ya Oktoba 28 kuwa siku ya mapumziko ili Wananchi waweze kupiga kura
  17. JamiiForums Tanzania Usafiri wa anga: Tutatekeleza Zanzibar (2020-2025)

    #USAFIRI WA ANGA. CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza SMZ kuongeza uwezo na ufanisi wa viwanja vya ndege kwa kuzingatia viwango vya kimataifa ili kuendana...
  18. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya unawaji mikono duniani, kitaifa Zanzibar kuadhimishwa Pemba

    LEO tarehe 15, Oktoba, ni siku ya kimataifa ya unawaji mikono duniani kote, ambapo kitaifa kwa Zanzibar sherehe hizo zinaadhimishwa kisiwani Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman wakati akizungumza na waandishi wa habari ukumbi wa ZBC...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea urais Zanzibar ADA-TADEA kutenga bajeti ya michezo akipata ridhaa

    MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib, amesema anakusudia kuinua sekta ya michezo, kwa kuweka bajeti maalum ya kuendeshea ligi kuu ya Zanzibar, badala ya kusubiri wafadhili. Alisema hayo ikiwa ni sehemu ya kampeni zake, zinazoendelea kufanyika kisiwani...
  20. JamiiForums Tanzania Mgombea urais Zanzibar kupitia CHAUMMA abwaga manyanga, ataja chama atakachokiunga mkono

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad ambae ni mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo katika uchaguzi mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…