Zanzibar 2020 Zanzibar: Maudline Cyrus Castico achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,033
9,923
1593354700944.png

WAZIRI wa Kazi, Uwezeshaji Wanawake, Wazee na Watoto, Maudline Cyrus Castico amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Amekuwa ni mgombea mwanamke wa tano kuchukua fomu hiyo, pia ni wa 32 kwa ujumla wa idadi ya watu waliochukua fomu kugombea urais Zanzibar hadi sasa.
 
Sijawaelewa Wazanzibar kwa nini wamejitokeza kwa wingi kugombea uraisi nini shida
Mbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46. Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32.

Kama JPM waliochukua nae wengi walilamba uteuzi na uwaziri.
 
Mbona mwaka 2015 bara walijitokeza 46
Hapo wengi hawautaki urais isipokua wanataka teuzi tu kutoka kwa Rais atakaepita lazima ataikumbuka tu timu yake ya wachukua fomu wenzie 32.
Kama JPM waliochukua nae wengi walilamba uteuzi na uwaziri
Yap ndio maana nasema kuna shida teuzi zitawamaliza hawa watu kisa teuzi na madaraka unaangalia mtu hata sifa hana lakin yumo na yeye anyway ndo democrasia
 
Back
Top Bottom