zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Hussein Mwinyi atamaliza urais wake Zanzibar 2030 na akataka kuendelea Bara kama baba yake, ndani ya CCM yupo wa kumzuia ?

    Endapo Hussein Mwinyi atamaliza kipindi chake cha urais Zanzibar mwaka 2030 na akataka kuhamia siasa za Bara kama ilivyowahi kutokea kwa baba yake (rip), Je ndani ya CCM kutakuwa na nguvu au makundi yenye uwezo wa kumpinga au kumzuia kupata nafasi ya kugombea ?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jumbe Kutekwa na Genge la Wazanzibari, Wamarekani Walikuwa Sahihi Kuogopa Zanzibar Ikiachwa Itakuwa Nyumba Ya Magaidi

    Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake waongoza maambukizi ya VVU Zanzibar

    Kupitia bajeti ya Wizara ya Afya Zanzibar iliyowasilishwa Mei 19, 2026 inaonyesha idadi ya maambukizi ya VVU inaongozwa wanawake. Watu waliopimwa ni 129, 741 wanaume 57, 615 na wanawake 72, 126 ambapo walipatiwa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU na kati ya hao watu 827 ambao wanaume ni...
  4. JamiiForums Tanzania David Djumbe asema kiongozi wa waliomteka alikuwa akiongea lafudhi ya ki Zanzibar

    Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe police Bali apelekwe Kwa boss akauwawe Hii ni mbaya sana Wazanzibar kuingia Tanganyika na kuendesha...
  5. JamiiForums Tanzania Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi? Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
  6. JamiiForums Tanzania The hills Nungwi apartments at Zanzibar

    THE HILLS NUNGWI by MAJESTIC LUXURY SUITES We are pleased to introduce The Hills Nungwi by Majestic Luxury Suites, a premium residential development located just 50 meters from the beach in Nungwi, Zanzibar. The project consists of a total of 88 units, designed to offer both lifestyle and...
  7. JamiiForums Tanzania Dangote njoo ujenge Oil Refinery Zanzibar, huko Bara hawapo serious!

    Asalam Aleikum Alhaji Aliko Dangote, Karibu visiwani ujenge Oil Refinery. Hapa utapata ardhi bure, nafuu ya kodi, nafuu ya kodi na soko kubwa Comoro, Kenya, Madagascar, Seychelles, Somalia, Eritrea n.k
  8. JamiiForums Tanzania Hawa Wazanzibar wanaotumia Leseni za Zanzibar kuendesha gari Tanganyika Wakamatwe

    Tangu Samia Suluhu Hassan ajimilikiishe Tanganyika, kumekuwepo na Wimbi la Wapemba wansotumia Leseni za Zanzibar Tanzania bara. Hawa ndugu zake samia wote wana leseni za Zanzibar. Wote wakamatwe kwani Leseni sio jambo la Muungano. Pia wasiijifanye ni International license sababu Zanzibar...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania waingia Kumi Bora kama Watu wanaofanya Kazi zaidi Duniani

    My Take Nakubaliana kabisa na huu utafiti na ndio sababu Wanaume Wengi wa Tanzania wameishia kuwa walevi,kulelewa na hao wanawake na kupoteza uelekeo na Heshima ya uanaume. Hongera sana wanawake wa Tanzania mumeiwakilisha Nchi kwenye nafasi ya 4.👇👇
  11. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kwanza ya Njia 6 Waanza Zanzibar

    My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana. =========================== Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwamba Zanzibar kuwa majike mazuri zaidi yenye macho kama anasinzia ?

    kurekodiwa, huenda ukiwa umechochewa na mabadiliko ya tabia nchi, wanasayansi wanasema. Alionekana katika bahari ya pasifiki karibu na Colombia mwaka 2017, kisha kuzuka tena miaka kadhaa baadaye kisiwani Zanzibar katika bahari hindi - umbali wa kilomita 13,000. Wataalam wanaamini kuwa safari...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mbioni Kuanzia "Muhimbili National Hospital Yake"

    My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi. Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach...
  14. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka

    Jengo lililopo eneo la Stone Town, Zanzibar limeporomoka ghafla, huku mamlaka zikianza uchunguzi wa haraka kubaini chanzo cha tukio hilo. Chanzo: Mnana Online TV Pia soma ~ Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar mbioni kuanzisha shirika lake la ndege ''Zanzibar Airline''

    Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo. Akizungumza katika kikao cha Baraza la...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanaongezwa mishahara halafu sisi Watanganyika TUCTA inasema hatuhitaji mshahara kupanda. Kwa mantiki hii najitoa CWT

    Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali. Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu uliofanywa na Gen Z waliotaka kupindua nchi. Jumatatu najaza fomu na kujitoa CWT.
  18. JamiiForums Tanzania Muslims wa Tanzania (bado) wako poa, shida ni Zanzibar!

    Kwa mujibu wa pew research center 41% ya Muslims wa tanzagiza wanasapoti sharia au wangependa sharia iwe sheria ya nchi vs 39 % ya Christians wangependa Biblia iwe sheria mama ya nchi i.e tuishi kwa kufuata Biblia amri 10 za Mungu ziwe supreme, kulinganisna na muslims wa kwingineko bado hali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni mkoa gani ungepewa hadhi ya muungano kama Zanzibar ungekuwa na maendeleo sana kuzidi hata Dar ?

    Kuna mikoa ingepewa hadhi ya kuwa nchi ndogo kama Zanzibar ndani ya Muungano ingekuwa mbali sana. Je unauona mkoa gani na kwa sababu zipi Kwa mtazamamo wangu nahisi mikoa hii ingekuwa mbali sana Kilimanjaro ingekuwa so far, Kuna mwamko mkubwa wa elimu, utamaduni wa kupanga na kushirikiana...
  20. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Zanzibar hapana!! Wanapenda kwenda Mahakamani

    Nipo Zanzibar nimemleta Mtuhumiwa escort. Hawa jamaa wanapenda kupelekana Mahakamani Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…