zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Simba haiwezi chukua Ubingwa kwa Azam Zanzibar

    Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
  2. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha Watumishi Hospitali ya Mkoa Lumumba (Zanzibar): Madudu, Dhuluma ya Masaa na Ubaguzi wa Kampuni ya NSK

    Wana-JamiiForums, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na masikitiko makubwa na dhumuni langu ni kuomba ushauri, lakini pia kufikisha sauti yetu kwa mamlaka husika juu ya ukiukwaji mkubwa wa sheria za kazi na haki za binadamu unaofanywa na Kampuni ya NSK, ambayo inasimamia Hospitali ya Mkoa ya...
  4. JamiiForums Tanzania CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

    Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours. Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
  5. JamiiForums Tanzania Nani anamnyonya mwezake? Tanganyika au Zanzibar? Kwanini Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?

    Naona dalili za Muungano kuvunjika zinanukia. Kila kona ya Tanganyika ni minog'ono juu ya Wazanzibari kuwanyonya Watanganyika kwenye kila sekta. Mfano, teuzi nyingi kwa sasa wanapewa Wazanzibari hata kwenye masuala ambayo sio ya muungano. Mbaya zaidi Watanganyika hawateuliwi kuwa viongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Sura Yake 1964 - 2026

    https://youtu.be/MMjqlioWkrE?si=s4JlXcHPmN_pZzjq
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  8. JamiiForums Tanzania Toka kuanzishwa kwake Chadema haijawahi kuwa na Ushawishi Tanzania Zanzibar

    Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo. Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM. Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia amekaa kimya Zanzibar inapotishia kuvunja katiba na kufanya ubaguzi wa wazi?

    Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano. Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya! Je...
  10. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
  11. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni mzigo mzito kwa Tanganyika. Ni wa kuvunja tena iwe ajenda namba moja kwa watanganyika

    Sisi watu wa Tanganyika ni ama hatuna akili na hatujitambui hata kidogo au tunajizima tu data ilimradi liende kwamba hatujipendi. Fikiria kuwa Zanzibar ina majimbo 54 ya uchaguzi. Katika majimbo hayo kila jimbo lina muwakilishi mmoja kwenda baraza la wawakilishi lakini pia lina mbunge kwenda...
  12. JamiiForums Tanzania Lini watanganyika watajibu mapigo kwa yanayoendelea Zanzibar?

    Kauli za kuudhi za mara kwa mara kutoka kwa wazanzibari. Sheria kandamizi za wazanzibari kwa watanganyika Ubaguzi wa waziwazi wa wazanzibari kwa watanganyika tena wazanzibari wengine wanawabagua watanganyika hapa hapa Tanganyika , haswa wale waliopo vyuoni. Dharau za viongozi wa dini wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Hamad: Anayechonganisha Muungano atakufa na atazikwa kwa chuki hiyo

    Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mhandisi Said Salim Hamad, amesema kuwa mtu yeyote anayetoa maneno ya uchonganishi dhidi ya Muungano, mtu huyo anachuki binafsi na atakufa na kuzikwa kwasababu ya chuki hiyo.
  15. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar

    Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless. MY TAKE Watanganyika tukijibu watavuka kurudi Zanzibari kwa kupiga mbizi. Wazanzibar wajinga, wamesahau Mchanga wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi: Watanganyika waanza kunyimwa huduma za Afya Zanzibar

    Wazanzibar wanadai Bajeti yao ya afya ni ndogo, inawatosha wao tu.. Hivyo kama wewe ni Mtanganyika, ili utibiwe unatakiwa upate barua kadhaa za Masheha. Kumbuka bado wanaendelea kupokeac kodi ya Watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar. Hata kama umepata ajali, kabla ya kukimbizwa Hospitali...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaotetea muungano wana mali tanganyika na wasioutaka mali zao zipo Zanzibar.

    Mijadala ya ambayo sisi watanganyika tukae watazamaji na hakimu ni ili la muungano. Kwenye huu muungano kutatokea vita mbili ya wenye mali na maisha tanganyika vs wenye mali znz.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya huyu Mbunge toka Zanzibar ni wazi kuwa Wazanzibar hawataki Muungano na hawautambui. Wapo wapo ndani ya Muungano

    Mbunge anadikiki kutamka, kuwa wenzetu wana Sovreingty sisi hatuna. Hii ina maana kuwa hawatambui kuwa kuna Tanzania
  19. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Victor Madaha ananukuu malalamiko ya watu: "Wazanzibari wanalalamika kazi zao zinachukuliwa na hawa kutoka Tanganyika... wamekuja kuwa watanganyika wasitibiwe kwenye hospitali zanzibar". Kuhusu mzigo wa bima ya afya: "Mahospitali kwa maana ya bima zile wamekuwa wakitibiwa sana watu wa bara sana...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu tafadhali usiseme 'Zanzibar' na 'Tanzania bara' unaporejelea pande hizi mbili za muungano

    Mwigulu, tafadhali sana usitaje jina 'Tanzania bara' na 'Zanzibar' unapozungumzia pande mbili za muungano unaounda Tanzania, badala yake tumia Tanganyika na Zanzibar. Ukishasema Zanzibar lazima useme Tanganyika, hilo ni sharti na siyo ombi. Ukishasema Tanzania bara ni sharti umalize kwa kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…