zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

    Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo. Pombe yenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Ardhi ya Zanzibar ( Aricle 1 )

    👉 Ardhi ni nini? 👉 Nani anasitahili kuilinda ardhi ya visiwa vya Zanzibar? 👉 Mmiliki ni nani? 👉 Nani anaweza kumiliki? Kila nchi Duniani ina ardhi yake huenda matumizi ya ardhi katika kila nchi yanaweza kutofautiana kulingana na maamuzi yao. Nchi zote Duniani zinaamini katika ardhi zao na...
  3. JamiiForums Tanzania TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  4. R

    JamiiForums Tanzania You will never be accommodated in Zanzibar if Tanganyika is "dead" "

    Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be accomodated in Zanzibar. Pigania Tanganyika yetu , yeye anajenga zanzibar kwa rasilimali za Tanganyika nanyi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

    Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao. Hayo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naona league ya NBC inahamia visiwani Mzizima Dabi kupigwa huko

    Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar Tujipange na ndondo za shafii
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  8. JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza Zanzibar?

    Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji. Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
  9. JamiiForums Tanzania Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

    Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..! Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya binadamu yaendelea kuumiza Zanzibar

    Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira. Na Husafiri Bila Kuwa Na Mkataba Wa Ajira Ambao Umethibitishwa Na Ofisi na Ofisi za Kibalozi za Nje ya Nchi ya Yetu. Mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mitandio na Kanga za Zanzibar na Mombasa

    Mitandio ya cotton na Mpira plain inapatikana Cotton bei ya rejareja sh 8000, bei ya jumla sh 7000 kuanzia mitatu. Mpira plain imebaki miwili, bei yake kila moja sh 5000. Mawasiliano 0784 829565
  13. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Oral interview zingine zingefanyikia Zanzibar

    Jamhuri ya muungano. Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman: Mtanzania yeyote mwenye akili hakuna atakayelalamika namna Muungano unavyoendeshwa

    Akizindua maonesho ya biashara ya Miaka 60 ya Muungano, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amesema wananchi wanatakiwa kuendelea kutambua umuhimu na tija za Muungano, ambapo amewahasa wanaofahamu vyema manufuaa yaliyopo kuendelea kuwaelimisha wengine hususani vijana ili waweze...
  15. JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  16. JamiiForums Tanzania Nini siri ya usalama wa Zanzibar?

    Wakati wimbi la utekaji likiwa limeshika kasi Tanganyika, hali ni tofauti kwa jirani yake, Zanzibar. Zanzibar kumetulia . Zanzibar hakuna utekaji. Nini siri ya Zanzibar kuendelea kuwa katika amani hata kipindi ambacho jirani yake, Tanganyika, inakabiliwa na maswaiaba ya watu kutekwa na hata...
  17. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Hoteli za Pilipili- Zanzibar anatafutwa kwa kosa la Udanyifu Poland

    Raia wa Poland, Wojciech Zabinski, mmiliki wa hoteli za Pili Pili Zanzibar, anadaiwa kutafutwa nchini Poland kwa kosa la udanganyifu. Inadaiwa aliendesha shughuli zake za ulaghai Zanzibar kwa kutoa ahadi za mapumziko ya kifahari kwa raia wa Poland, ambazo ni za uongo Mamlaka za ndani zimedai...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbukizi muhimu: Kabla ya Mazombie kulikuwa na akina Kaujore: Mwanamapinduzi aliyeua watu Msikitini

    Muhammad Abdallah Kaujore Tarehe 9 Septemba 1964, Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya baa moja karibu na Marikiti. Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea kuwa Memba wa Baraza la Mapinduzi. Siku za za mwisho wa maisha yake alipata wazimu lakini badala...
  20. JamiiForums Tanzania Majina ya maeneo Zanzibar yanavyoacha watu midomo wazi

    Wengi hawajui kama Zanzibara hasa Unguja iliwahi kuwa na usafiri wa reli iliyojengwa mwaka 1905. Sauti na mlio wa treni hiyo ilipokuwa ikipita ikazaa jina bububu. Barabara katika eneo la Bububu. Hivyo bububu ni tanakali sauti yaani jina linalotokana na sauti ya kitu. Kama ilivyo sauti nyau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…