zanzibar

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne tunduizi kuchambua hali ya kisiasa iliyopo Wadau walioshiriki Jukwaa la Demokrasia Tanzania...
  3. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa. Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli haupingi Zanzibar ipo Kama hakuna Zanzibar mbona kuna Rais wa Zanzibar?

    Kama hakuna Zanzibar, mbona kuna rais wa Zanzibar? Anawakilisha nani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika. Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii ndipo hoja ya kimantiki ilipojitokeza kwa kujitambulisha kwa Uzanzibari Hali hiyo imepelekea pia...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Bi Kidude Malkia Wa Taarabu Zanzibar

    Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja. Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba alikuwa na kipaji cha kupiga ngoma. Bi Kidude amewahi kujinyakulia tuzo mbalimbali katika muziki...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  8. P J O

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya wafanyakazi wa Azam Ferry kusajili line ya AzamPesa bila ridhaa ya mteja sio sawa

    Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako. Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni wizi wa Taarifa Binafsi na Ulaghai. Mwisho wanakupeleka dirishani ukatiwe tiketi ila sasa unakuta...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Awamu ya 4 ibebe Lawama kwa mambo ya muungano yaliyoondolewa kinyemela na kupewa Zanzibar? Karibu tujadili kwa facts

    Shalom, Tuunduiz Lissua myopia hawazungumzii haya mazito Nasikitika kusema kwamba mambo ya muungano yalikuwa 22 na hakuna kikao halali cha Bunge la muungano kimeondoa baadhi ya mambo ya muungano. Cha ajabu Baraza la wawikilishi Zanzibar limefanya mabadilliko mengi yaliyoipa Zanzibar uhuru na...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tuboreshe kisiwa cha Mafia kama mbadala wa Zanzibar

    Hiki kisiwa kikiboreshwa vema kinaweza kuwa mbadala wa Zanzibar japo hakiwezi kuwa kama Zanzibar. Kina fukwe kubwa na nzuri, Kina utalii wa majini Utalii wa mashambani ni muhimu tujivunie na kuboresha chetu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na Comoro zina mahusiano Maalumu

    ZANZIBAR NA COMORO INA MAHUSIANO MAALUM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa kindugu hivyo ameridhia kufunguliwa kwa Konseli Mkuu wa Comoro hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuwa na Ardhi inayomiliki Tanganyika imekaaje kisheria!?

    Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo. Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama Flysafair, Air Mauritius, Turkish, Ethiopian, Air France, Kenya, Qatar na mengineyo kumwaga watalii. Kwa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa viongozi wa UWT na madiwani wanawake Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wowote watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar

    UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao...
  18. Ileje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam inatakiwa ihamie Zanzibar ili ipate mataji na nafasi za kucheza kimataifa

    Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza kabisa Azam. Hivyo ni vema ikahamia Zanzibar ambako itapata ufuasi mkubwa na kuna timu nyoronyoro ambazo...
  19. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Tanganyika kupitia koti la muungano itume wawakilishi baraza la wawakilishi Zanzibar

    Wakuu,kama tunavyofahamu kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka Zanzibar na wengine huchaguliwa kutoka baraza la wakilishi kuja kwenye Bunge la Muungano ambalo kimsingi ni Bunge la Tanganyika kupitia Koti la muungano. Ambapo wabunge hao kutoka Zanzibar huja kujadili masula ya Tanganyika,hivyo ni...
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania CCM na Muungano vyote havitakiwi na Wazanzibari; kwa nini wanalazimishwa?

    Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao. Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka vyama vyao vya kisiasa na siyo hivi vya kubambikiwa. Wazanzibari wanataka uhuru wao! Hamsikii? PIA...
Back
Top Bottom