zanzibar

  1. ranchoboy

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania): Je, tumefika wakati wa kuwaza serikali moja?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya? Nikiwa...
  2. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  4. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi Zanzibar inaajiri wasio na sifa

    Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura Zanzibar Umepoa mno. Kwanini influencers hawatumiki kama kwenye Kizimkazi Festival?

    Wakuu, Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar. Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi. Hamna social media campaigns, matangazo ya...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

    Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law. Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kujiunga OIC ni lazima, si la Mzee wa CHADEMA tu. Dr. Salmin Amour alipokuwa Rais alishalipitisha na kugonga Mhuri. Muda utaongea

    Salaam Wakuu, Naona kuna watu wanataka kupotosha kuhusu swala la kujiunga OIC kwamba ni la leo. Yule Mzee wa CHADEMA kakumbushia tu Wazanzibari ajenda yao ya Miaka mingi. Swala la OIC ni Ajenda ya Siri ya kila Mzanzibar. Asikudanganye mtu. Mwaka 1992, Dk Salmin akiwa na miaka miwili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

    Hii ndio Taarifa Mpya kutoka Mwananchi --- Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake Familia ya Ramadhan anayedaiwa kutekwa, kuuawa kikatili yamlilia Rais Mwinyi. Mama yake asema ana hofu na usalama wake. “Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
  13. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
  14. E

    JamiiForums Tanzania House4Rent 3 bedrooms apartment in Stone Town for 450,000/= Tsh or $166

    Top-notch apartment in Stone Town for just $166 per day🏠 Features; • 3 spacious bedrooms • 3 toilets • A fully equipped kitchen • Laundry facilities • Wi-Fi • Round-the-clock security • Living room • Netflix access • A cozy dining room • Car parking
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  16. flamini

    JamiiForums Tanzania Natafuta msusi wa braids aina mbalimbali Zanzibar stonetown

    Wanamitindo kwema? Kuna mgeni wangu anakuja soon na atataka kusuka braid Zanzibar. Kuna msusi wa braid au unamjua msusi Zanzibar?
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

    Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo. Pombe yenyewe...
  18. aleesha

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Zanzibar ( Aricle 1 )

    👉 Ardhi ni nini? 👉 Nani anasitahili kuilinda ardhi ya visiwa vya Zanzibar? 👉 Mmiliki ni nani? 👉 Nani anaweza kumiliki? Kila nchi Duniani ina ardhi yake huenda matumizi ya ardhi katika kila nchi yanaweza kutofautiana kulingana na maamuzi yao. Nchi zote Duniani zinaamini katika ardhi zao na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  20. R

    JamiiForums Tanzania You will never be accommodated in Zanzibar if Tanganyika is "dead" "

    Polisi haya mnayoyafanya, , ya kumsaidia samia kuiuza Tanganyika, kuiharibu Tanganyika, muungano huu ukivunjka na ikawa serikali tofauti na CCM, hamtakimbilia zanzibar...you will never be accomodated in Zanzibar. Pigania Tanganyika yetu , yeye anajenga zanzibar kwa rasilimali za Tanganyika nanyi...
Back
Top Bottom