zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Mhandisi Zena Said afungua Kigoda cha Wasichana Zanzibar

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said amefungua Kigoda cha Wasichana katika Ukumbi wa Dimani Zanzibar tarehe 11 Oktoba, 2024. Jukwaa hili la Wasichana lilizungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi ya kuzitatua ili kuweza kutumia fursa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

    Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar. Soma Pia: Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
  3. JamiiForums Tanzania Kima punju; mnyama apatikanaye vijijini Zanzibar pekee duniani

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR BAADHI ya watu wengi hawafahamu vivutio vilivyopo visiwa vya Zanzibar, ambapo huwa wanafikiria kuwa ina uzuri wa fukwe za bahari tu, La hasha, si fukwe tu bali kuna vivutio vingi vya asili ambavyo hupatikana ndani yake nakuifanya kuwa maarufu zaidi Duniani. Vivutio...
  4. JamiiForums Tanzania VESPA Zanzibar Tourism Festival

    Assalam Aleikum, Zanzibar tunaandaa tamasha kubwa la VESPA duniani. Tarehe 15 April 2025. Karibuni sana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Marais Wastaafu wa Zanzibar (walio hai)

    1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Sultan wa Mwisho wa Zanzibar

    Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake. Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu. Any way he is a citizen of United Kingdom and currently retired in oman since 2020.
  7. JamiiForums Tanzania Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
  8. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania): Je, tumefika wakati wa kuwaza serikali moja?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya? Nikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Rais wa Tanzania anaweza kutumbua watendaji upande wa Zanzibar?

    Habari wadau. Naomba kujua power ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania katika kuwateua ama kuwawajibisha viongozi waliopo Zanzibar
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wa kike Zanzibar yashika kasi! Wanaharakati, Wanasiasa, Jamii na Serikali wanena

    Na THABIT MADAI, ZANZIBAR. ‘ZANZIBAR ni njema atakaye na aje’, Msemo huu ni maarufu sana visiwani haapa, na kwamba umetokana na ukarimu wa watu wake tangu asili na asili. Bila ya shaka hakuna asiejua kuwa watu wa Zanzibar walikuwa wakiishi kwa msingi ya kiimani inayopelekea kuishi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mzuri (TAMWA – Zanzibar): Wanahabari kuweni wajasiri na wabunifu katika kuibua Wanawake kushika nafasi ya Uongozi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, Dkt. Mzuri Issa amewataka Waandishi wa Habari nchini kuwa Mabalozi kwa kuandika habari zinazohusu masuala ya Wanawake na uongozi. Wito huo ameutoa leo Oktoba 8, 2024 wakati akifungua warsha ya siku ya mbili ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi Zanzibar inaajiri wasio na sifa

    Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
  14. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura Zanzibar Umepoa mno. Kwanini influencers hawatumiki kama kwenye Kizimkazi Festival?

    Wakuu, Nimekuwa nikianzisha nyuzi humu kuhusu mchakato wa kuandikisha wananchi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura unavyoendelea kule Zanzibar. Kusema na ukweli tu, mchakato umepoa sana. Hakuna shamrashamra na hamasa kivile kwa wananchi. Hamna social media campaigns, matangazo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar Kama Dubai, Hazina Sovereignty, - No Capacity to International Treaty, Kama Tumeingia Mkataba na Dubai, Kwanini Zanzibar Izuiwe Kujinga OIC?!

    Wanabodi, Japo fani ya sheria ni fani moja simple sana, ndani ya sheria kuna sheria fulani fulani ni ngumu sana kwa mawakili. Miongoni mwa sheria ngumu ni Criminal Law, Land Law, Law of evidence, Constitutional law na Public International Law. Kwa upande wa sheria ya katiba, constitutional...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kujiunga OIC ni lazima, si la Mzee wa CHADEMA tu. Dr. Salmin Amour alipokuwa Rais alishalipitisha na kugonga Mhuri. Muda utaongea

    Salaam Wakuu, Naona kuna watu wanataka kupotosha kuhusu swala la kujiunga OIC kwamba ni la leo. Yule Mzee wa CHADEMA kakumbushia tu Wazanzibari ajenda yao ya Miaka mingi. Swala la OIC ni Ajenda ya Siri ya kila Mzanzibar. Asikudanganye mtu. Mwaka 1992, Dk Salmin akiwa na miaka miwili...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

    Hii ndio Taarifa Mpya kutoka Mwananchi --- Ramadhan Iddi Shaaban anayedaiwa kutekwa na kuuawa kikatili enzi za uhai wake Familia ya Ramadhan anayedaiwa kutekwa, kuuawa kikatili yamlilia Rais Mwinyi. Mama yake asema ana hofu na usalama wake. “Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki...
  19. JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
  20. JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…