zanzibar

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

    Habari Wadau Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Fursa Trainee Zanzibar

    Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos amesema kuwa hakuna kiongozi atakayeihama CCM na kuifanya itetereke hata awe anapendwa vipi

    Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara. "Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Katibu Uenezi CCM aridhishwa na zoezi la Uandikishaji wapiga kura

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, Mbeto Hamis amesema zoezi la uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya ya Micheweni, Zanzibar linalomalizika leo limefanyika kwa ukamilifu wa hali ya juu na kwamba wao kama chama, wameridhishwa. Soma, Pia Special...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Barabara iliyopo Kwerekwe Makaburini inakuwa hatarishi kwa kuwa Madereva wengi hawazingatii Zebra

    Huku kwetu mitaa ya Kwerekwe Makaburini kuna mistari ambayo inatumika kuruhusu Watu kuvuka Barabarani maarufu kwa jina la Zebra. Hapo nazungumzia barabara ya kubwa ya kwenda Fuoni, lakini cha ajabu madereva wengi hawasimamii Sheria za barabarani ikiwemo kutozingatia matumzi ya Zebra hizo...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wagombea Urais Tanzania na Zanzibar kutambulishwa Februari 5

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kuwatambulisha kwa Wanachama Wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 katika maadhimisho ya miaka 48 ya Chama hicho February 05,2025, uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Taarifa...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya laptops zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli ni kwamba laptop hizi zimekuwa na changamoto kubwa. Hadi sasa, laptop yangu imeharibika licha ya...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kufungua Matawi mbalimbali Zanzibar

    Zaidi soma hapa
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zanzibar 2025: Washinde Wananchi wa Zanzibar

    https://youtu.be/bLNkiqEcSlM?si=ETJ3sWsvSITvsvmj
  13. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majukumu ya nyumbani kikwazo kwa wanawake kuingia katika uongozi Zanzibar

    Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni wengi. Kwa wingi wote huo nafasi ya za kuongozi kwa wanawake bado hajakidhi malengo Kutokana na...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na Uchaguzi Mkuu Ujao 2025

    https://youtu.be/-zGdlZBs2aU?si=ZahbODqjYS3nvSYV
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Poa Communication tawi la Zanzibar huduma zao ni mbovu

    Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana. Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini kwao kwani ni miongoni mwa kampuni zilizoteuliwa kutoa huduma hizo. Nilichokikuta najuta hata...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake katika Uongozi ni chachu ya kufikia Dunia yenye usawa

    Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto za uongozi visiwani Unguja. Pili ambaye alianza harakati za Siasa Mwaka 2020 akiwa Mwanachama hai...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Zanzibar

    wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili. Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
Back
Top Bottom