zanzibar

  1. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar: Uwekezaji Unaofanywa Umekuwa Kichocheo cha Kukuza Uchumi Zanzibar

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR: UWEKEZAJI UNAOFANYWA UMEKUWA KICHOCHEO CHA KUKUZA UCHUMI ZANZIBAR Wakiwa Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 30 Novemba, 2024, Wabunge Wanawake Zanzibar wameeleza kuwa Uwekezaji unaofanywa na Serikali umekua ni kichocheo cha kukuza uchumi na maendeleo ya nchi. Hayo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wapongeza Miradi Mikubwa Ilivyoleta Maendeleo Zanzibar

    Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
  4. BigTall

    KERO Barabara Mtaa wa Magomeni Jitini - Unguja, imechimbwa na kutelekezwa, kuna usumbufu mkubwa wa magari kupishana

    Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi unaoendelea mpaka sasa, hali inayofanya madereva kutumia njia moja hali inayosababisha kero ya...
  5. britanicca

    Tetesi: Jimbo la Zanzibar ya Wamasaai linaenda kwa mwangalizi wa Mali Mkuu wa Hekaya aliyestaafu

    MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu, Itakuwa Mwaka 2025 wala si now Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG! Vikao 10 sasa !!! Britanicca
  6. Emilio Mzena

    Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

    Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
  7. M

    LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  8. GoldDhahabu

    Mafuta ya Zanzibar yataifanya Tanzania kuwa tajiri kama Libya?

    Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema! Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi? Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
  9. Roving Journalist

    Zanzibar: Kampeni ya kupinga ukatili na udhalilishaji kwa Watoto, Wazee na Wanawake kuanza Desemba 14, 2024

    Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira. Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
  10. W

    LGE2024 Nov 27 Mapumziko ni Bara tu, Zanzibar ni siku ya kazi kama kawaida

    Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu Soma pia: LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa...
  11. Mindyou

    PreGE2025 LGE2024 Katibu wa Uenezi CCM Zanzibar: Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa (GNU) inaenda kufa 2025. Naumia ila sina jinsi!

    Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
  12. TRA Tanzania

    Zanzibar: TRA yatoa zawadi kwa vilabu vya kodi

    Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa mabalozi kwa jamiii juu ya ulipaji kodi kwa hiyari. Bw. Pandu ameyasema hayo tarehe 23/11/2024 kabla...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Tanzania na Zanzibar ni vitu wivili tofauti kabisa, yawezekana hata viongozi wetu hawawezi kutofautisha kati ya Tanzania na Zanzibar

    Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake. Utata usiomithirika. •Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
  14. Just Pray

    LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
  15. Torra Siabba

    KERO Responded Walisema watatupa ufadhili kusoma Chuo Kikuu cha SUMAIT (Zanzibar) hadi tuhitimu, ufadhili umesitishwa kinyume na makubaliano

    Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
  16. Thabit Madai

    NIT yatoa mafunzo ya usalama barabarani Zanzibar

    CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na makondakta wa gari za abiria wa Mkoa wa Kaskazini...
  17. Mngoni asiyepiga gambe

    Tahadhari na maduka ya kuuza simu mitandaoni location inasoma Pemba Zanzibar

    Miezi kadhaa nyuma wife alikuwa anahitaji kununua simu baada ya survey za hapa na pale mitandaon tukakutana na page za kuuza simu mitandaoni location Pemba ila wanatuma mzigo popote. Bei zake zinaonekana za chini sana kuliko bei za maduka mengi sasa picha linaanza kwenye picha zote kwenye page...
  18. ngara23

    Tanganyika gizani, Zanzibar nuruni

    Tanganyika unapotea Watanganyika wamekuwa mashabiki Tanganyika imekuwa kama koloni Tanganyika hatuna hata bendera Tanganyika shule hazina madawati Tanganyika hospital hazina madawa Tanganyika vijana hawana ajira Tanganyika magorofa yanandondoka kama biscuits Tanganyika na Watanganyika kariakoo...
  19. BigTall

    Mwenyekiti wa CCM akielezea tukio la Vijana waliodaiwa kupigwa risasi na Askari Zanzibar

    Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa Pia soma: ~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji ~ Jeshi la Polisi kuunda...
  20. Pfizer

    Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024

    Salaam Wakuu, Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024. Hapa chini ni Hotuba iliyotolewa leo na Mhe. Mudrik R. Soraga Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale kuelekea Bonanza hilo. ====== HOTUBA KWA UZINDUZI WA PEMBA TOURISPORT AND CULTURAL...
Back
Top Bottom