zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  2. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  3. JamiiForums Tanzania Natamani baada ya rais Samia, Zanzibar ipate uhuru wake haraka sana

    Turahisishe jambo hili kwa kufungua vifungo vya katiba yetu kandamizi. Hapa ndipo mnyororo na kufuli kuu lilipo. Mengine yatafanyika tu taratibu kukamilisha ratiba. Najua kuna ugumu kwa baadhi ya vipengele. Ila tusiwe wapumbavu tunaoogopa kujaribu chochote chenye kutuletea maendeleo. Nimemaliza.
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NEC yazindua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki Zanzibar Kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Vyuo vya Mafunzo kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kisiwani Unguja, Zanzibar leo...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  7. JamiiForums Tanzania Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura Uwanja wa Abeid Amani Karume baada ya hitilafu katika mfumo wa gia

    Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar ilifanya kutua kwa dharura kwa hali ya kushtua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
  9. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
  11. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa (Tanganyika na Zanzibar)

    Habari watanzania wenzangu, Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu). Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote. USHAURI WANGU. 1. Uandaliwe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa Bandari zetu bara, sasa ni shirika la ndege nalo limejifia na Zanzibar kuipiku air Tanzania

    Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje? Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
  13. JamiiForums Tanzania Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  14. JamiiForums Tanzania Pemba na Zanzibar visiwa vyenye bahati sana

    Visiwa tajwa hapo juu vina bahati sana. Vina serikali yake Vina wabunge wake kwenye bunge la muungano, Vinaendeshwa na fedha toka Bara Vina mamilioni ya watu wake Bara Vina watu wenye uraia pacha wakati watanganyika hawana Na mengine mengi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

    Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi. 1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili. 2. Angalia alivyoingilia...
  16. JamiiForums Tanzania Top ten ya wanasiasa matajiri Tanganyika na Zanzibar

    Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsi
  17. JamiiForums Tanzania Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

    Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata? Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  19. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu zitakazopelekea jamii ya Kizanzibari kuwachagua viongozi wanawake kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar. Hadi sasa ni nchi 22 tu duniani kote ndio zina mwanamke kama mkuu wan chi kati ya nchi 119, hii inasababishwa na hali ya kijamii kwenye suala la kuchagua na kuwapata nafasi wanawake kuwa viongozi. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo 22 ambazo zina viongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…