zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

    1. Huduma za kiafya Zanzibar ni bure for as long as unakitambulisho cha mkazi wa Zanzibar. Matibabu na dawa za Figo, Kansa na magonjwa yote ni bure. Gharama yako ni nauli ya kufika Hospital. Kwa Tanganyika hakuna matibabu bure, kama umefanikiwa kuwa na Bima itakuwa ni faida kwako. Kati ya...
  2. JamiiForums Tanzania Niwatahadharishe ACT kwamba mwaka huu CCM wanakabia kwa juu kule Zanzibar

    ACT wajiandae kwa mapambano. CCM wameamua mwaka huu wakabie kwa juu msipate sehemu ya kupumua. CCM wamepanga yafuatayo. 1. Kumuwekea pingamizi mgombea urais Zanzibar kwa ACT. 2. Wamepanga kuwawekea pingamizi wagombea ubunge wote wa ACT kutoka Zanzibar. 3. Wamepanga kuwawekea pingamizi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar toeni mrija wekeni bomba la kunyonya mali za watanganyika maana tumelala sana na kusikia kwa kenge ni mpaka masikio yavuje damu.

    Kwa utajiri wote wa taifa hili, bado mnatumia mrija wa muungano kutunyonya? Ni muda wa kuvunja mrija na kuweka bomba (pipeline) la neema moja kwa moja kwenda Zanzibar Kwakuwa watanganyika wamekosa uzalendo wanapigia magoti pesa na vyeo kuzidi taifa lao hio tayari ni tiketi ya kuweka bomba...
  4. JamiiForums Tanzania Wastaafu Zanzibar wapo Kimya, wa Tanganyika mbona hawatulii walisahau nini madarakani?

    Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele. Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Chaumma kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza rasmi hakitasimamisha mgombea wa urais kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao. Badala yake, kimeelekeza nguvu zake katika kinyang'anyiro cha urais wa Tanzania na nafasi za ubunge nchini kote. Uamuzi huo umetangazwa leo Jumapili, Agosti...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibar watoa tamko

    Tamko https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya Uchaguzi wa 2020. Wananchi wa Zanzibar na Watanzania wenzangu, Mimi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mwinyi alipigiwa Kura za Hasira, kumjibu Mwanamtandao alomtuma Binti awapigie Wajumbe Kumchagua Waziri Rashidi kugombea Urais Zanzibar

    Wakuu mambo ni MAZITO sana sana. Kumbe Mwinyi mwaka 2020 asingekuwa Rais. Licha ya Juhudi za Magufuli kwenye Kikao Cha Halmashauri Kuu kuwauliza kama Wajumbe wa MTU wao , baada ya Magufuli kugundua kua Walitaka Shamsa Vuai Nahodha awe Rais, na Wajumbe wote kukana kuwa hawana Mgombea. Jioni...
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Tunauza Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  12. JamiiForums Tanzania Watalii waporwa vifaa vya thamani ya zaidi ya dola elfu 12 za kimarekani wakiwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas, Zanzibar

    Watalii waliokuwa katika hoteli ya Shivo Paje Villas visiwani Zanzibar wamepata mshtuko mkubwa baada ya kuporwa vifaa vyao vyote vya kamera na mali nyingine zenye thamani ya zaidi ya dola 12,750 za Kimarekani. Kwa mujibu wa taarifa walizotoa, vitu vilivyoibwa ni pamoja na: Kamera Canon R5 Mark...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura ya Awali kupigwa Oktoba 28, 2025 Zanzibar

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani. Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na maagent wa KAZI za hotelini Zanzibar

    Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho Hakuna guarantee ya...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Serious kabisa nitumie njiia Gani kupata jimama la kizungu hata 50's Six part na fluent English Tayari ipo
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano tukiwekewa vikwazo vya kimataifa na Zanzibar itahusika?

    Nauliza tu ili baadae tusije kusema Raia wa nchi nyingine wametuharibia nchi yetu.
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Nikiwa Rais Vijana wataoa kwa pesa ya serikali

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  20. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Zanzibar: Tuna uhaba wa Walimu wa Sayansi, wanaohitimu wanakwenda wapi?

    Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa Walimu katika masomo hayo. Hoja hiyo imeulizwa mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…