zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Idadi ya wagonjwa wa Corona yaongezeka Zanzibar sasa yafikia Watatu

    Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu. Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza. Source ITV habari
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar inakuwa mbele kutoa taarifa za Corona kuliko Tanzania bara?

    Ukiwa mfuatiliaji wa habari utagundua mara zote waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amekuwa akimtangulia Ummy Mwalimu kwenye kutoa taarifa za Corona. Mfano kuwaweka abiria wanaoingia nchini katika karantini alianza Hamad then Ummy akafuatia. Jana Hamad Rashid katangaza ongezeko la mgonjwa...
  3. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kudumu la Muungano bora baina ya Tanganyika na Zanzibar

    Watu wa Tanganyika wenye makazi ya kudumu Zanzibar na Wazanzibar wenye makazi ya kudumu Tanganyika, wapewe uhiari, haki na uraia wa kuendelea kuishi Zanzibar au Tanganyika mtawalia. Endapo Tanganyika na Zanzibar zitaendelea kuwa na uraia wa nchi moja, basi nchi hizi mbili ziwe na makubaliano...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yaonyesha ukomavu waweka itikadi pembeni Waziri wa afya kutoka chama cha upinzani aongoza mapambano!

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa. Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii. Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
  5. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Zanzibar yafunga Baa na Kumbi za Starehe, masoko mwisho saa 12 jioni

  6. JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yasimamisha safari za ndege za Kimataifa

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesimamisha safari zote za ndege kutoka nje ya nchi zikiwemo zinazoleta watalii. Serikali imechukua uamuzi wa kuzuia ndege za watalii ili kulinda maisha ya watu wake japokuwa uamuzi huo una athari kubwa kiuchumi. Waziri wa utalii mh Kombo amesema wageni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Watu wawili washukiwa kuwa na Virusi vya Corona huko Zanzibar, sampuli zatumwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi

    Waziri wa afya Zanzibar Mh Hamad Rashid amesema Zanzibar kuna washukiwa wawili wanaodhaniwa kuwa na virusi vya Corona na kwamba sampuli za damu zao zimetumwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi. Chanzo: ITV habari! =====
  9. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

    Shirika la umeme la Zanzibar limekiri kudaiwa na shirika la umeme TANESCO deni la shilingi bilioni kumi lakini limesema halitalipa bali deni hilo litalipwa na Serikali ya muungano. Limesema Serikali ya muungano inadaiwa na Serikali ya Zanzibar kwa hiyo watakatana hukohuko. Kwanza haijulikani...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji manukato kutoka Zanzibar na maduka wanayouza

    Habari wana JF Naomba kupata maelekezo jinsi ya kuanza kufanya biashara ya kununua perfume na manukato kutoka Zanzibar na kuuza Dar. mwenye kujua au uzoefu anielekeze maduka ya manukato na perfume yanapatikana wapi hapo Zanzibar na wanauza kwa kiasi gani, nauli ya Zanzibar mpaka Dar ni sh...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar yatazamwa kwa umakini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    As Tanzania prepares for a general election this year, Zanzibar, a hotbed of opposition politics, seems to be receiving attention from both development partners and the government in Dar es Salaam. Last week, President John Magufuli held a closed-door meeting with three Zanzibari opposition...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje. Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani. Source Star tv!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Zanzibar haipati wahamiaji kutoka upinzani? Je, haipendwi au wanasiasa wa visiwani wamekomaa kuliko wa bara?

    Naomba anayejua sababu ya kutowasikia wanasiasa wa upinzani kule Zanzibar wakihamia chama tawala anijuze tafadhali. Au sisi Watanganyika tunajua kucheza na kete za kisiasa kuliko Wazanzibari? Majibu tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

    Katibu Mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu. Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi CCM Zanzibar haina Mgombea wa kumshinda Maalim Seif 2020?

    Ningali najiuliza Maalim Seif ni nani huko Zanzibar hadi atungiwe sheria eti asigombee Uchaguzi Mkuu? Nijuavyo Zanzibar ina wanasiasa mahiri wanaofaa kwa nafasi ya urais kupitia CCM ambao watamgalagaza Maalim Seif mapema asubuhi. Labda kama CCM mnataka agombee balozi wajina wa Maalim, hapo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania CCM wajipamga kumzuia Maalim seif kugombea Zanzibar

    CCM Ni hatari Sana Sasa kupeleka mswada Baraza la wawakilishi kumzuia Maalim seif kugombea URAIS Zanzibar. Hi ni hatari tunawaomba CCM asilia wajitokeze kukemea Tweet Zitto MwamiRuyagwa Kabwe @zittokabwe Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea...
  17. JamiiForums Tanzania The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

    By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar ndani ya Netflix Series

    Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies. Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono ------------------------------- Queen Sono is a South African crime drama web television series created by Kagiso Lediga that premiered on Netflix on February 28, 2020. The series...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wavuvi watatu hawajulikani walipo baada ya kuzama baharini, siku ya 10 sasa

    Wakuu, Kuna habari zinadai kwamba kuna Wavuvi watatu, hawajulikani walipo na hii ni siku ya 10. Je, watakuwa wapi? Au wamekamatwa? Tunaomba wenye details juu ya hii stofahamu asaidie kupatikana kwa hawa watu. Stay tuned ===== Serikali yaombwa kusaidia kutafuta miili ya Wavuvi watatu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

    Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni! ==== SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, katika fainali ya Kombe la Mapinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…