zama

Zama, also known as Xama, in what is now Tunisia is best known for its connection with what is called the Battle of Zama, in which, on 19 October 202 BC, Scipio Africanus defeated Hannibal, ending the Second Punic War with victory for the Roman Republic, and breaking the power of Ancient Carthage.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ya Kweka na Changamoto za mahusiano katika zama zetu

    Mkasa wa KWEKA na mkewe uliopelekea kutoana uhai kijeshi ni simulizi inayozua maswali mengi, maoni mseto shuhuda anuai na shauri mbalimbali. Swali lililoulizwa sana ni.... "Kwa nini Kweka amemuua mkewe mrembo kiasi kile kwa risasi?" Je hakukuwa na namna nyingine ya kutatua changamoto zao kabla...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kijana wa mjini asiye na pesa katika zama hizi kumiliki mwanamke mzuri

    Jinsi mapenzi yalivyogeuka kuwa commercial vijana wa mjini makapuku wasio na pesa wanaweza kumiliki mabinti wazuri kama ilivyokuwa zamani?
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ni zama za kujiuzulu kwa barua

    Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani. Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua. Anayefata atakuwa nani?
  5. JamiiForums Tanzania Zama za mwisho wa dunia? Mchina aja na teknolojia hii

    Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone kuchapa makombora mbu kama mbu vipi kwa object kubwa kama binadamu na wengine. Message hio kwamba vita...
  6. JamiiForums Tanzania Zama za mizaha ya Uhaini, Ugaidi na Uchochezi zifike mwisho!

    Katika injili ya Luka 14:28-30, twasoma; "Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga...
  7. F

    JamiiForums Tanzania JE ni kweli ndoa za zama hizi ni kama mtego wa panya ?

  8. JamiiForums Tanzania Lijue jimbo la Galatia lililokuwa maarufu sana zama za Biblia

    Galatia haikuwa mji mmoja, bali ilikuwa eneo (jimbo) katikati ya Asia Ndogo (leo ni Uturuki). Galatia ilipata umaarufu mkubwa katika Biblia kwa sababu Mtume Paulo aliandika waraka maarufu unaoitwa Waraka kwa Wagalatia. Historia ya Galatia Karibu mwaka 278 KK, makabila ya Wakelti (Celts)...
  9. JamiiForums Tanzania CCM ingekuwepo zama za kina Kinjekitile na Mkwawa ingewaita wahaini/magaidi

    Fikiria CCM ndiyo ingekuwa madarakani wakati Kinjekitile Ngwale akipanga vita ya majimaji au Mkwawa akipinga uvamizi wa himaya yake. Unadhani CCM ya wakati huo ingesita kuwaita hao ambao leo tunawaita Mashujaa kuwa ni wahaini au magaidi? Nadhani wakati huo CCM ingempa nishani ya uzalendo na...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe zama zake kisiasa ndio zimepita?

    Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA. Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii. Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kila zama na nyakati zake

    Madogo hizo akili na huo weledi hamna. Life goes on Be it wahusika wenyewe wa JF, bado hawajaelewa somo. Kuna watu wapya, hawa wana access ya internet; bado hawajui mipaka ya social etiquette. Utanielewa baadae.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi kuna watu wapo kimakosa katika zama hizi walipaswa wawe stone age

    Ukichunguza vizuri kuna baadhi ya wafuasi ,wakeleketwa na machawa Promax wa chama fulani kilochongukia katika list ya terrorist organization ,nina kila sababu ya kusema hawakupaswa kuwa katika zama za sasa za ustaarabu bali walipaswa kuwa stone age ,kwasababu maisha wanayoishi na fikra walizo...
  13. JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye Zama za AI, Ukweli Na ubora wa Kiongozi Unapimwaje?

    Katika zama hizi za AI kama OpenAI ChatGPT, nyie mnampimaje uwezo wa kiongozi wa chama tawala au upinzani? Maana leo hii wote wanaweza kutafuta hoja kali, hotuba nzuri na majibu ya kisomi kupitia AI wakaonekana wana akili sana mbele ya watu. Zamani mtu alikuwa akitoa hotuba nzito watu wanaamini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tutashambulia Iran vikali zaidi kwa wiki 2 hadi 3 na kuwarudisha zama za mawe wanakostahili kuwa

    Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo. "Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Donald Trump Hitler wa Zama Hizi?

    https://youtu.be/5uVhOvh4AvY?si=a9aETLRZuF9El3ww
  17. I

    JamiiForums Tanzania Cuba inavyozidi kurudi kwenye zama za mawe

    Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani. Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Zama za Babeli (Iraq) Uajemi (Iran) na Rumi zimeshapita Iran haiwezi kuinuka Tena LAZIMA ibondwe Kutimiza unabii tusiwe wavivu kusoma maandiko

    Uajemi na umedi ni Dola kubwa lilotawala ulimwengu miaka mingi kabla ya Kristo Baada ya hapo ndipo warumi wakatawala Dunia Kwa muda mrefu sana Hadi Leo alama zake tunaziona Baada ya Rumi kuanguka Marekani kama Pembe mojawapo kati ya mataifa ya ulaya ndo superpower wa dunia ingawa hawezi kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kusingizia kitu zama hizi ni kutafuta aibu za kujitakia

    AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao. Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane Credit: Hilda Newton FB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…