Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
Wakina ndugu Lissu aachiliwe aende zake nyumbani baada ya hapo maridhiano ya kitaifa tujadiliane na kuwa na muafaka wa pamoja, muafaka ndio inawekaga kusemana kweli na kisha tuambiane rekebisha hiki rekebisha kile na twende kwenye uchaguzi Amesema Polepole
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa...
Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto.
Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣
Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!.
Ni...
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya.
Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo.
Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
Salamu Wanajukwa,
Huwa najiuliza mara nyingi sana hili swali na ningetamani sana kujua kwa Wajuvi wa mambo.
Kufariki kwa kiongozi mkubwa wa kitaifa ni swala la nchi lakini pia linagusa maslahi mapama ya kiusalama.
Viongozi ni binadamu kama sisi na wanawasiliana na viongozi wengine kwa protocols...
https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk
Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais?
Kule Zaire Mobutu alikua na...
Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard
Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote
◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao
◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia.
Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo.
Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
Za leo wakuu
Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka?
Natanguliza shukrani zangu
Mapema mwezi huu raisi Trump alimpa raisi Putin wa Urusi mwezi mmoja na ushei ili akubali suluhu na Ukraine vita vimalizike.
Sasa Trump amesema amepunguza muda huo na kumtaka Putin asimamishe vita katika kipindi cha wiki mbili tu zijazo.Urusi baada ya kusikia amri hiyo imesema imesikia maneno...
Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC.
:
Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara.
A. Usajili wa Jina la Biashara...
Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam.
Pia ameendelea kusisitiza madai yake yabuvunjifu wa katiba ya CCM na taratibu zake katika kumpata mgombea urais wa mwaka huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.