zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rufiji: Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere limepunguza athari za mafuriko Rufiji

    Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle amesema kuwa mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) umepunguza kwa kiasi kikubwa mafuriko na athari zake yaliyokuwa yakitokea katika wilaya hiyo. Meja Gowelle ameyasema hayo tarehe 05.04.2024 katika mazungumzo yake na wawakilishi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabiby ni moja ya wabunge mabepari ambao wamekwama kabisa kufikiri. Yeye ndiye anayeongoza kushawishi nauli zipande , ndiye aliyesababisha hasara kwenye ujenzi wa reli kwa kulipwa mabilioni kubeba wafanyakazi na hakulipa kiasi chochote cha kodi wala kuwalipa wafanyakazi vibarua malipo ya mifuko...
  4. JamiiForums Tanzania Israel yafunga kwa muda balozi zake katika nchi 28 kufuatia maandamano ya Siku ya Quds

    Wanaukumbi. ISRAEL ON HIGH ALERT - YAFUNGA MABALOZI 28 Kujibu vitisho vilivyoongezeka kutoka kwa Iran baada ya IDF kuwaua maafisa wakuu nchini Syria, balozi 28 za Israel na balozi ndogo duniani zimeripotiwa kufungwa kwa muda - zikiwemo Azerbaijan, Bahrain, Misri, Jordan, Morocco, na...
  5. JamiiForums Tanzania Baba vanga, bibi wa Hungary, anayeaminiwa mno duniani kwa najimu zake za kweli!

    Bibi huyu kipofu, ambaye ameshatutoka ulimwenguni toka 1996, ni bibi aliyefanikiwa kutabiri mambo mengi ambayo wanasayansi wakubwa ulimwenguni wamekuwa wakifuatilia najimu zake na vyote alivyokuwa akibashishiri vilitokea kwa 100%,ndiye aliyesema dunia yetu hii iyakwisha rasmi 5079. -Nimejikuta...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kufunga Balozi zake kama tahadhari ya kushambuliwa na Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Hali siyo nzuri huko madhariki ya kati Israel imeanza chukua hatua za tahadhari kwa kufunga ofisi zake za ubalozi kwenye nchi mbalimbali duniani zake ikihofia mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran. Hatua hizi zinafuatia shambulizi lililofanywa kwenye makazi ya balozi...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    WHATSAPP BOT Ulimwengu wa Sasa matumizi makubwa ni ya artificial intelligence (robot) now Whatsapp Kuna robot maarufu kama Whatsapp bot. BOT FEATURES 🤖 Auto View Status 👉Hii utaview status ata ukiwa offline tena just now😁 🤖Always Online 👉hii muda wote utaonekana active online ata Kam...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Ahly inamaanisha "Taifa", hivyo unaweza kuita 'Club ya kitaifa' Hizi hapa Timu za kiarabu na maana zake

    (1) Jina la 'Al-Ahly SC' Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
  11. JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unaweza kufungua kampuni nje ya nchi? Hatua zake zipoje?

    Habari wakubwa natumai wazima. Nilikuwa natamani kujua kama inawezekana kufungua kampuni yako nje ya nchi na hatua za kufungua nje ya nchi zinaanzia wapi? Asanteni.
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Vituo vya Polisi viitwe Vituo vya Usalama wa Raia na Mali zake

    Naona kila kona vituo vya polisi vimeandikwa " Kituo cha Polisi" kisha kufuatiwa na jina la mahala lilipo. Sasa swali la kujiuliza, raia anamfuata polisi ama usalama wake pamoja na mali zake. Nashauri vibadilishwe majina na kuitwa vituo vya usalama wa raia na mali zake. Hii iitaboresha...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia amerogwa huyo siyo akili zake

    Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
  15. JamiiForums Tanzania Athari za Mvua March 2024: Hali ikoje eneo ulipo?

    Tangu asubuhi kumekuwa na mvua kubwa ikinyesha jijini Dar es Salaam. Huu uzi ni kujulishana athari na matokeo ya mvua hizo. Je, ni barabara gani hazipitiki, tupite wapi? Wapi kuna mafuriko, na hatua gani tuchukue ili tuwe salama? Tuhabarishane sisi kwa sisi.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo anataka kuua uchumi katika tasnia ya michezo, tujitokeze kulaani kauli zake

    Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu. Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
  17. JamiiForums Tanzania Kabla hujafika Dar es Salaam, ilikuwa ukisimuliwa habari zake ulikuwa unajenga picha gani kichwani?

    Habari wana JF, Binafsi kabla sijafika Dar nilikuwa na picha ya tofauti kidogo kichwani hasa ubungo na wakati huo anayekusimulia ametoka Dar eti amesahau hadi kilugha si unajua wanyakyusa tena kwa mbwembwe ndizi alianza kuuliza eti zinaitwaje kilugha? na amekuja na mikate ile mikubwa huku...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
  20. JamiiForums Tanzania Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…