Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake.
Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
Wakuu naomba anaefahamu anisaidie kufahamu biashara ya bandarini pale inafanyikaje na fursa zake pale ni zipi.
Yani nataka kujua zile meli zinamlipa nani na nani au zinalipwa na nani?
Dp world au adani yeye anapataje pesa ikiwa achukui kodi?
Wale wenye malori yenye kontena wanafanya vipi...
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani.
Kulikoni?
Naangalia mahakama inavyofanya kazi zake, maamuzi zake, upindishaji wa sheria, uvunjaji wa katika wa wazi kabisa
Naangalia jeshi linalopaswa kuilinda katiba kufa kupona. Naangalia lilivyolinda wananchi wakati wa maandamano. Naangalia linavyolinda haki ya kuishi nyakati za utekaji
Naangalia...
Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake
Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu
1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi
2.MaumbIle ya mtu
Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani
Unadhani huwa ni nini kinapelekea Mh. Mwigulu kukutwa na hali hiyo?
Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani
Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi.
Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali...
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni.
Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka.
Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita.
Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa.
Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz,
Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani.
Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
GT
Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya.
Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo..
Maana hakuna hata mbunge mmoja aliyajutia mauaji ya M029 hao ni kuku kabisa achaaneni nao.
Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa.
Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe?
Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.