Naomba niseme wazi,
Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi.
Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo...
Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa.
Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa.
Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua...
Kwa kipindi Cha miaka minne nimekuwa nikifanya utafiti mdogo na muhimu, ambapo nilifanikiwa kuhoji watu 500. Pamoja na mahojiano hayo pia nilikula sehemu 100 tofauti tofauti.
Katika hitimisho, nimefanikiwa kukubali kabisa pasipo shaka kuwa pilau na biriani misifa wako ligi mbili tofauti, pilau...
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
Merhaba!
Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo.
Pamoja na kuwa na...
Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap.
Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo.
Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake
Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi.
Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
Habarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?
Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka...
Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele.
Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
"Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition?
Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea.
Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana yanaendelea kushushwa Ukraine ya kukinga dhidi ya hayo mabomu.
Amekusanya wanywa gongo wenyewe...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
Mwanamke huyo raia wa Congo, alieleza kuwa alijitolea maisha yake yote kuwalea ndugu zake na sasa yuko tayari kuolewa iwapo atapata mwanaume.
Akizungumza katika mahojiano na AfriMax, alisema: "Kilichofanya asiolewe ni kwa sababu sijapata mwanaume anayenifaa. Lakini nilipokuwa bado msichana...
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa.
Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...