yesu

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Busia atimuliwa kanisani baada ya kujitangaza ni ‘Maria Mama wa Yesu’

    Judith Nafula alijitwalia cheo hicho baada ya kuripotiwa kufukuzwa katika Kanisa Katoliki la Lwanya kwa madai ya kufanya miujiza kwa waumini wa kanisa hilo. Nafula alidai alipokea mwito kutoka kwa Roho Mtakatifu na kusikia sauti ya Yesu ikimwita. “Niliuona mwanga ukitoka angani ukishuka...
  2. JamiiForums Tanzania Mnakamatia Yesu kwenye pasi ya umeme? Huu ndio ufashisti unaofichwa kwenye kanzu ya sheria!

    Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  4. C

    JamiiForums Tanzania Paulo wa Tarso aliebuni Ukristo Baada ya Yesu

    Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Judith Nafula kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu

    Jamani Zumaridi mpya kutoka Kenya Judith Nafula mwenye umri wa miaka 50 kutoka Busia anadai kuwa yeye ni Mariamu, mama wa Yesu, na kwamba mume wake anaitwa Yusufu. “Mama aliniambia kwamba wakati ninazaliwa nilikuwa mzungu, ni nywele tu ndizo zilikuwa nyeusi. Madaktari walishangaa Mwafrika...
  6. JamiiForums Tanzania Hata Yesu angezaliwa Tanzania,watawala wangemsulubu msalabani

    Sioni tofauti ya utawala huu na wa mfalme herode
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ninyi wahubiri wakristo hebu sasa acheni kutuaibisha. Yesu alikuwa anakemea mapepo masaa na na masaa au ilikuwa ni AMRI MOJA, ONDOKA?

    Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k. Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu ana majina mengi kila nchi (Jesus, Yesu, Emmanuel, Yoshua, Jisos, Jesu, Issa)

    Karibia kila nchi ina namna ya kumuita Yesu kwa jina lake, mm mtanzania nikiomba nasema Katika jina la Yesu alafu mwingine anasema in Jesus nama ama Yoshua, to me it feels like maombi yanaenda kwa mtu tafauti! unlike waislam mtume wao wanamwita jina moja dunia nzima Prophet Muhammad, sjawahi...
  9. JamiiForums Tanzania Hii nguvu anayoitumia Gwajima kwenye Mambo ya KIKAISALI angeitumia KWA YESU uislam na upagani nchini ungebaki 1%

    Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito. Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasongo, Zakayo, El Chapo na Naibu Yesu - kwa nini rais wa Kenya ana majina mengi ya utani?

    Mei 2025 Rais wa Kenya William Ruto ni mtu mwenye majina mengi ya utani. Naibu Yesu, El Chapo, Hustler na Muuza Kuku ni baadhi tu ambayo amepata katika miaka ya hivi majuzi. Kama ilivyo ada wakati watu wanapewa majina mbadala, mengine ni kuonyesha mapenzi lakini mengine yanakusudia kumdhihaki...
  12. JamiiForums Tanzania Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  13. JamiiForums Tanzania Tunamuombea Ambaye alisema Yupo mpaka Yesu atakaporudi apate fursa ya kwenda kumsalimia kukidhi matarajio yake

    Maombi rasmi ni kwamba aendelee na dharau na kufuru wao wapo hadi siku ya ujio wa Yesu kristo.
  14. JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi...
  15. JamiiForums Tanzania Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi hakuna miujiza kama Yesu alivyoagiza KWA wafuasi wake?

    Wakatoriki ndio kabisaa hawataki kusikia hizi habari wao wamejielekeza zaidi kwenye mifumo yao ya kiibada basi. Wasabato nao ni kama wamekatazwa kufanya eti KWA sababu Shetani atafanya na yeye miujiza bandia. Wamejikita kutaka Yesu arudi mapema. Walokole badala ya miujiza wao wamejikita kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…