Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
ushuhuda
Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli
Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
Yesu alizaliwa Myahudi, aliishi katika mila na desturi za Uyahudi, na alitumia maandiko ya Torati na manabii waliomtangulia kama msingi wa mafundisho yake. Hata hivyo, Wayahudi hawakumkubali kuwa nabii wala Masihi. Swali kubwa ni kwa nini?
1. Kigezo cha Nabii kwa Uyahudi
Katika Uyahudi, nabii...
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?
Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?
Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
Huku na kule duniani, kuna watu wanaokiri kuwa Yesu ni miongoni mwa manabii wakuu. Watu hao wanaamini kwamba Yesu alipewa Injili na alifanya miujiza. Hata hivyo hawakubali mafundisho yanayoeleza kwamba Yesu alikufa msalabani na kwamba siku ya tatu alifufuka. Wanasema Yesu sio Mungu na hawakubali...
Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza!
Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu.
Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni.
N.K.
Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama mkosoaji wa Ukristo.
Lakini leo ameushangaza ulimwengu! Ameandika mada mtandaoni yenye maneno yanayoonesha...
Enyi Wakristo, leo nimewafuata hukuhuku, najua mpo wengi kwenye jukwaa hili la Sports. Please, naomba kwa dakika moja tuzungumze jambo muhimu kuhusiana na soka.
Soka ni mchezo unaofurahisha na kuwaunganisha watu wengi duniani. Lakini, je, mmewahi kujiuliza kama Bwana wetu Yesu Kristo na mtume...
Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu alipokuwa pamoja na wanafunzi wake, alijifunga taulo kiunoni, akamimina maji katika chombo, akaanza...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu:
BC (Before...
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je...
Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna mwanasiasa mwenye utata, anayeitwa Lopelope. Alitangaza kwamba leo saa mbili atalihutubia taifa hilo...
Agano Jipya lote. Hakuna mahali yesu imemuandika alikuwa alikuwa na nyumba au ploti tu. Yeye mwenyewe alisema ndege wa angani Wana viota na wanyama wa mwituni Wana mapango lakini mwana wa Adamu Hana pahali pa kulaza hata kichwa chake
Luka 9:58
“Ndege wa angani wana viota, na mbweha wana...
Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai?
Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo?
CC Rakims, Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume , DR. MWAKABANJE