yesu

  1. JamiiForums Tanzania Yesu anasema watakao mafuta watapata mabikira 100 peponi

    Mathayo 19:29 Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele. Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi Neno Nyumba hapo linawakilisha mke Kama ulikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

    Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na...
  3. JamiiForums Tanzania Dini haiokoi ila Yesu. Mtafute na kumshika Yesu na siyo dini

    Dini ni utaratibu aliouanzisha mwanadamu katika kumtafuta na kumuabudu Mungu wake.. ila YESU ni Mungu aliyejinyenyekeza kujishusha kuvaa mwili wa mwanadamu,kuzaliwa kimasikini katika zizi la ng'ombe,kaishi maisha ya duniani na kuwa rafiki na kukaa pamoja na wanadamu wenye dhambi(Emmanuel) ili...
  4. JamiiForums Tanzania Usaliti kumchomesha kumchoresha, kumuuza ndugu yako; Yuda Eskareote alimchomesha Yesu auawe

    Mtu akishakuwa msaliti once a coward always a coward,hafai kuaminika popote hata kwa familia yake hashindwi kumchomesha hata mwanafamilia yake hata kumuuza mke wake. Dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu, ina laana ni roho ..inayokupelekea kusaliti tena ni roho chafu sana ya shetani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwahiyo kila mwaka Mungu Yesu anakufa na kufufuka?

    Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine

    Neno Amina linatofautisha matamko ya Yesu na wengine Maandiko, katika kitabu cha Ufunuo 3:14, yanasema, kama ifuatavyo: “Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye ‘ALIYE AMINA’, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu”. Neno Amina maana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwamposa anawaaminisha Waumini wake wamtazame yeye kama Mkombozi, huku akiwatenga mbali na Yesu

    Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua Uponyaji Wokovu Utajiri Kufanikiwa Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje?

    Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje? Waliokufa kabla ya Yesu kuja, yaani watu wa Agano la Kale, wataokolewaje? Swali hili linaulizwa na baadhi ya watu kwa sababu tunajua kuwa kuokolewa ni kupitia damu ya Yesu tu, ndiyo tunapata ukombozi wa hakika wa dhambi. Sasa waliokuwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa?

    Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa? Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake? Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29: “Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini Yesu alisema, “Nenda na usitende dhambi tena,” ikiwa hilo haliwezekani? Je, Yesu alimaanisha alichosema kweli?

    mbaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu.” Wakolosai 3:5. "Na hao walio wa Kristo Yesu wamesulubiwa mwili Pamoja na Mawazo yake mabaya Pamoja na tamaa zake." Wagalatia 5:24. Ni wazi kwamba ikiwa tunataka kuwa wa Kristo tunahitaji kufanya hivi hasa: “Mkinipenda, mtazishika amri zangu.” Yohana...
  12. JamiiForums Tanzania Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni sehemu maalumu kwa ajili yako msomaji uweze kutoa ushuhuda wako jinsi Yesu amekuokoa,amekusaidia,amekuponya..amekutendea mema,matendo makuu

    Karibu mtu wa Mungu uweze kutoa ushuhuda wako utushirikishe ushuhuda wako wa jinsi ambavyo BWANA wetu YESU KRISTO amekuokoa kutoka katika nguvu za giza na kukuhamisha kukuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake. Jinsi amekuokoa kutoka katika hatari mbali mbali..ambapo unaweza kushuhidia...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna ushahidi wowote Yesu alikuja duniani or it's just a conspiracy theory ya watunga stori?

    Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
  15. JamiiForums Tanzania Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  16. M

    JamiiForums Tanzania Unajua ili katika betting, Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa

    Kuna kitu nimekitafakari katika betting Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Yesu sio nabii issa, issa ni character iliotengenezwa iendane na itikadi yao na pia ipunguzwe nguvu ili mwanzilishi wao asionekane ni wa chini sana

    Fikra pevu sio ya kila mtu. Fikra huru ni ya kila mtu na ina makando kando. Nyie mna fikra huru, sisi tuna fikra pevu. Haiwezekani uje karne na makarne baadae ubadirishe mstakabari wa mtu kisa unataka kushindana nae.
  18. JamiiForums Tanzania Tunao wajibu wa kumtangaza KRISTO waigizaji wa move za Nigeria ni mabalozi wa YESU

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  20. JamiiForums Tanzania Simoni wa Zelote, mwanasiasa wa upinzani aliyemfuata Yesu

    Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea. Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm Walikuwa na misimamo ifuatayo Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…