yesu

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Mathayo na Luka daktari wa Rafikiake na Paulo nani anadanganya kuhusu kifo cha Msaliti Yuda?

    Mathayo 27:5: Yuda akaenda akajinyonga. Matendo ya Mitume 1:18: Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
  2. JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wimbo: Sauti ya Yesu (audio + video vimetengenezwa kwa AI)

    Watu makini wa JF, kwa heshima kubwa napenda kuleta kwenu wimbo tuilioupatia jina "Sauti ya Yesu". Wimbo huu ni matokeo ya matumizi ya teknolojia ya akili unde (AI generated song). Hii ikijumuisha audio pamoja na video zote zimetengenezwa kwa kutumia akili unde. Yesu Anajibu Songs tunaamini...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  5. JamiiForums Tanzania Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

    Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia. Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Yesu atoa ushauri kwa team kataa ndoa

    Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa" Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika. https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
  7. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kutambua kwamba mfumo uleule uliomuuwa Yesu ndio uleule uliotengeneza dini ya kuzungumzia juu yake

    Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha. Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia ya kuendesha na kuunda uhalisia. Lengo lake lilikuwa kutufundisha “code” au kanuni za jinsi ulimwengu...
  8. JamiiForums Tanzania Damu ndio sarafu pekee ya kulipia huduma zote zinazotolewa katika ulimwengu wa roho (Damu ya Yesu ilifanya kazi hiyo)

    Mathayo 26:26–29 Walipokuwa wanakula, Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, “Twaeni mle; huu ndio mwili wangu.” Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, “Nyweni nyote katika hiki; kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo?

    Je Mtume Muhammad Swalla Llahu 'alayhi wa sallama ni Mdogo kiumri kwa Yesu Kristo? Sababu leo ni Miaka 2026 Tangu kuzaliwa kwa Emanueli(Yesu) huku Mohamad ikiwa kwanza ndo Miaka 1448 Tangu kuzaliwa kwake. Je, Ni kweli Yesu kampiga gap la Miaka zadi ya 500 Mtume Mohamad? Kwa Ufupi Mohamad ni...
  10. JamiiForums Tanzania Tamasha la Twende zetu kwa Yesu mnafanya wizi kuuza neno la Mungu

    Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:- Isaya 55:1-2 [1] Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi?

    Kumuamini Yesu pekee inatosha au haitoshi? Swali: Je kuna haja ya kutafuta jambo lingine tena baada ya kumwamini YESU? Katika kitabu cha Yohana 3:18 na 3:36, Neno la Mungu linasema: ".... amwaminiye mwana anao uzima wa milele, asiyemwamini hana uzima? Jibu: Yapo maandiko katika biblia...
  12. JamiiForums Tanzania Bila Yuda hakuna ukombozi wa Dunia. Bila Yuda, Yesu asingekuwa Shujaa

    Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika. 3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Unamwona Yesu Kama Nani Kwako?

    Mk 8:27 SUV [27] Akatoka Yesu na wanafunzi wake, wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria-Filipi; na njiani akawauliza wanafunzi wake, akasema, Watu huninena mimi kuwa ni nani? Swali hili waliloulizwa wanafunzi linatuhusu mimi na wewe leo, kwa sababu tunaweza tukawa tunasema tumeokoka ila tukawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Paulo alisema kila mtu atabeba mzigo wake (dhambi zake) kama ni hivyo yesu alikuwa kwa dhambi za nani?

    Yesu alituhakikishia dhambi zetu alizifia msalabani je nani mkweli? Karibuni
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa

    Yesu aliwezaje kuchukuliwa na shetani juu ya kinara cha hekalu kujaribiwa Wakati shetani anamjaribu Yesu, biblia inasema alimchukua na kumpandisha kwenye kinara cha hekalu. Swali ni je! alikuwa anachukuliwaje mahali pale, ni njia gani ilikuwa inatumika? Ni muhimu kufahamu kuwa Bwana Yesu...
  16. JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ni mfano bora wa ukombozi kupitia kwa Yesu Kristo

    Wanadamu wote wametenda dhambi na wanastahili hukumu ya Mungu. Katika Mwanzo 6:5-7 twasoma "BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote. BWANA akaghairi kwa kuwa amemfanya mwanadamu duniani, akahuzunika moyo. BWANA...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Yesu na ancestors wetu ni nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu?

    Hivi kati ya our ancestors ambao, walifanywa watumwa na wakauawa wakipinga utumwa na ukoloni kwa miaka na miaka Na yesu, aliyeuawa msalabani ndani ya jioni moja tu Nani aliteseka zaidi kwa ajili yetu Kwa nini hatuwaenzi ancestors wetu the way tunavyomuenzi Yesu?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya?

    Yesu Alipopanda Mlimani Kuomba kwa Nini Alitokewa na Musa na Eliya? Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwa nini atokewe na Musa na Eliya na siyo manabii wengine, kama vile Isaya au Samweli? au Ezekieli? Kutokewa na wale watu halikuwa kwa lengo lake. Bali lilikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Yesu anasema hatokunywa Pombe ya Duniani anasubiri pombe ya peponi

    Mathayo 26:29 Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu. Yesu anasema hataki pombe ya duniani anasubiri pombe ya peponi Au Kuna mgalatia yoyote anayepinga kuwa uzao wa mizabibu sio pombe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…