yesu kristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

    Hapo vip! Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo. Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
  2. Mohamed Said

    Wayahudi Hawakuogopa Kumuua Yesu Kristo Mtoto wa Mungu Wataogopa Kumuua Khamenei?

    https://youtu.be/II2yPs0OKOs?si=-69y8t4mAwPS6JVN
  3. J

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni

    Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema, “Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
  4. Fatherland

    Umaarufu wa watu hawa haukuwa na viewers

    Nawasalimu, Salamu za heshima, Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna alivyoweza kuacha alama kubwa hata kabla ya enzi ya teknolojia ya kisasa. Karibu usome kwa utulivu na...
  5. T

    Heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo

    Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu...
  6. M

    Wakristo wa jamiiforums As-salamu alaykum, Waislam wa Jamiiforums Tumsifu Yesu Kristo

    Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
  7. kyagata

    Hivi wakati Yesu Kristo anasurubiwa msalabani,Baba yake (Joseph) alikua wapi kumsaidia?

    Naomba anaejua anipe jibu. Biblia haijaainisha ni wapi alipokua Joseph wakati mwanae anasurubiwa msalabani,kwa nini hakujitokeza kumkingia kifua mwanae?
  8. Gospel KTV

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Mwana wa Mungu (AC, BC, AD)

    Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo Ulishawahi kufikiria hili? Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu: BC (Before...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  10. Tech Max

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO

    Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
  11. Yoda

    Mtume alijuaje Yesu Kristo hakuuwawa msalabani na Warumi?

    Wayahudi waliomshitaki Yesu kwa Herode na Pontio Pilato, wanafunzi wake walioukuwa wafuasi wake wanaotembea naye kila siku na Warumi waliokuwa wakoloni watawala wa Judea ambao ndio walimuhukumu Yesu wote wanashuhudia kwamba Yesu Kristo alitundikwa na kuuwawa msalabani, wanachotofautiana tu ni...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa

    Yesu Kristo ana nguvu sana. Nilikua Mhindu Yesu Kristo akaniokoa. Ni maneno ya binti wa kihindi aliye okoka baada ya Yesu Kristo kumwokoa mama yake. https://www.instagram.com/reel/DK_9jQHt9KI/?igsh=MTBlajgxZTg1anI4Nw==
  13. Meneja Wa Makampuni

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote humwogopa YESU KRISTO

    Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41 Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
  15. U

    Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  16. Paspii0

    Mei Mosi kila mwaka Kanisa linaadhimisha Sherehe ya Mtakatifu Yosefu mfanyakazi, baba mlishi (Mlezi) wa Yesu Kristo

    Katika tafakari ya maisha ya kila siku, kazi ni kama jua linaloangaza jasho letu kuwa baraka, na juhudi zetu kuwa ibada takatifu. Tarehe 1 Mei, Kanisa Katoliki la Roma,linatufundisha kuyatazama maisha kwa macho ya Mtakatifu Yosefu Mfanyakazi , fundi wa mbao (seremala),baba mlishi wa Yesu Kristo...
  17. ELI COHEN

    EPL wana vituko sana, wanalazimisha watu kuvaa vitambaa vya upinde ila mtu ukivaa Tshirt inayoonesha imani yako kwa Yesu Kristo wanakuletea noma

    Haya ni matokeo ya nchi kuegemea katika mrengwa wa kushoto/liberals. Wanajua Yesu aendani na ushetani wao wa ushoga wao sasa wanaudhika
  18. Meneja Wa Makampuni

    Tuache uvivu tumpokee Yesu atufundishe hizi nondo

    Mtu wa Mungu, kumpokea Yesu hakuangalii dini ya mtu, ni moyo wako tu. Neno la Mungu linasema kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Anaye mpokea Yesu anapata uzima wa moyo, uzima wa akili...
  19. Setfree

    Je, ni sahihi kuwasalimia watu kwa kusema: “Bwana Yesu Asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo”?

    Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk. Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo...
  20. Nomadiq

    Yesu kristo kafufuka, rasmi na mimi nafufuka!

    Heshima mbele bandugu. HERI YA PASAKA KWA MNAOIAMINI Easter(mimi siiamini naamini pasaka nyingine isiyoitwa Easter). Lililonileta sio hilo, bali ni kufufuka kwangu, kivipi? Noma mbona unatuchanganya kwani ulikufa? Ndio nilikufa, nilikufa kivipi fuatana nami mpaka mwisho.
Back
Top Bottom