Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje?
Waliokufa kabla ya Yesu kuja, yaani watu wa Agano la Kale, wataokolewaje?
Swali hili linaulizwa na baadhi ya watu kwa sababu tunajua kuwa kuokolewa ni kupitia damu ya Yesu tu, ndiyo tunapata ukombozi wa hakika wa dhambi. Sasa waliokuwa...
Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa?
Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake?
Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29:
“Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga...
mbaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu.” Wakolosai 3:5.
"Na hao walio wa Kristo Yesu wamesulubiwa mwili Pamoja na Mawazo yake mabaya Pamoja na tamaa zake." Wagalatia 5:24.
Ni wazi kwamba ikiwa tunataka kuwa wa Kristo tunahitaji kufanya hivi hasa: “Mkinipenda, mtazishika amri zangu.” Yohana...
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.
Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa...
Karibu mtu wa Mungu uweze kutoa ushuhuda wako utushirikishe ushuhuda wako wa jinsi ambavyo BWANA wetu YESU KRISTO amekuokoa kutoka katika nguvu za giza na kukuhamisha kukuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake.
Jinsi amekuokoa kutoka katika hatari mbali mbali..ambapo unaweza kushuhidia...
Kuna stori hadi sasa nikisikia naona kama hazina utofauti na mere stories. A lot of story kama, yesu alitembea juu ya maji, kufufua wafu, 🤔still doesn't make sense....
Kuna kitu nimekitafakari katika betting
Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa
Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu
Lakini ukweli ni kuwa tukitaka kufanikiwa katika beating
Haya ndo mambo muhimu ya kuangalia sana kwenye...
Fikra pevu sio ya kila mtu.
Fikra huru ni ya kila mtu na ina makando kando.
Nyie mna fikra huru, sisi tuna fikra pevu.
Haiwezekani uje karne na makarne baadae ubadirishe mstakabari wa mtu kisa unataka kushindana nae.
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nawasalim salam
Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu
KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU aliye hai mathayo 16:15-16 Baba wa mbingun ndo katufunulia hayo...
Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni
Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu
Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema,
“Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliyekufa; naam, na zaidi ya hayo, amefufuka katika wafu, naye yuko mkono wa kuume wa Mungu; tena ndiye...
Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots
Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea.
Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm
Walikuwa na misimamo ifuatayo
Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
Awali ya yote Lissu sio Muhaini.
Ibada za walokole zimejaa utapeli wa kila aina.
Utasikia wanasema shetani ushindwe na ulegee. Mara waseme fire fireeee,kumkanyaga sio kumkanyaga.
Waliwahi kufuga mlimani kwa siku tatu usiku kucha tunasikia tunamkanyaga shetani wengine wanamteketeza shetani...
Shalom shalom
Je, Kuna Uthibitisho wa Kihistoria au Kisayansi kwamba Yesu Alijaribiwa na Shetani?
Simulizi la Yesu kujaribiwa na Shetani jangwani ni moja ya hadithi maarufu katika Ukristo. Linaonekana katika vitabu vya Mathayo, Marko, na Luka ndani ya Biblia. Hata hivyo, tukilitazama tukio...
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo.
Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea
maelezo yanayotoka...
Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha na Sanamu za Mzungu flani hivi wa Ulaya au Marekani.
Yesu hakuwa mzungu.
Kihistoria na...
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu.
Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu.
. Hawajui Tanzania tuna reserve ya dhahabu kiasi gani.
.Hawajui malengo ya Tanzania kuhifadhi dhahabu ni yapi.
.Hawajui kuwa...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa...
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.