yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

    Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje. Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha? Maana najisikia...
  2. Boxer yangu katika chumba cha mpangaji mwenzangu

    Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na sebule. Kwakuwa nilikuwa na majukumu binafsi mbali na kuitembelea familia hii na kutokana na ufinyu...
  3. Miaka inaenda sioni Future yangu. Nimekata tamaa!

    MIAKA IMEENDA SIONI FUTURE YANGU; NIMEKATA TAMAA! Kwa Mkono wa Robert Heriel. "Nina miaka 33, sina mke, sina mtoto, sina kiwanja, Kodi inanishinda, wala sio Kodi nyingi haifiki hata elfu 50 Kwa mwezi lakini inanitoa jasho kuilipa, chakula nakula Kwa mbinde Kama mvuta upinde. Mavazi yangu ni...
  4. Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

    Sitaki tena vurugu za mapenzi. Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji. Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!. Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na...
  5. Majibu yangu kwa Thadei Ole Mushi alivyouliza, nini kimempata Ndugai?

    Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano imeishia kununua wapinzani na kukopa Trillion 29,ninukuu ya Mzee Mwinyi sijui kama nainukuu sawa sawa...
  6. D

    Je hii mimba ni yangu ama si yangu, wajuzi nisaidieni.!!

    Mambo vipi wakuu.. Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde. Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021 akasema anajiskia kulala lala na uchovu. Basi ikapita hiyo siku then kesho yake tena akaleta hizo...
  7. Zuchu nimekusikia vizuri ama?

    Are u telling me what I think ur telling me? Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ? Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
  8. Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  9. K

    Jamaa yangu ana pass Degree lakini tayari kapata kitengo

    Kuna jamaa yangu tumepiga nae shule, yeye alikua sio mtu wa ile misuli mirefu,kapata pass degree grade.ila cha kufurahisha ni kwamba jamaa tayari kalamba mkataba kwenye kampuni kubwa tu linalojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa cement hapo mjini Daslamu. Binafsi zamani nilikuwa najua mtu...
  10. Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Habari za wakati huu, nimeona niwashirikishe kidogo Wazee wenzangu wa Road trip haka kamsafara kangu kadogo. Nilipanga kuwa mwaka huu nizunguke kwa gari baadhi ya mikoa, LENGO ikiwa ni kupunzisha ubongo tu na kujionea huko kwingine...LENGO ilikua nianzie Dar-Lindi-Songea-Njombe-...
  11. Nimevutiwa sana na Subaru Impreza, nafikiri itanifaa kwa matumizi yangu kwa sasa

    Ndugu wananchi, Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo. Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete, mwingine Crown Royal, na mmoja wa Subaru Impreza. Katika magari yote hayo nimetokea kuvutiwa sana na...
  12. nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  13. Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
  14. Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  15. Vunja bei yangu

    Nina vifaa vimebaki hapa wadau 1. Fiber Moja Kwa shs 3500 TU za Andika. Zimebaki nne. 2. Msasa Mita 1500 TU. 3. Brush mbili Kwa 3000 TU. 4. Gypsum powder BBG mfuko mmoja Kwa 13000 TU. 5. nipples 5 Kwa 3000 TU. Karibu tuongee,,,
  16. S

    Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

    Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: "Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais...
  17. Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  18. Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  19. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  20. Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…