yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Habari zenu, Nina jambo ambalo linanitatiza jamani. Mimi ni mkazi wa Dar na asili yangu ni mkoa fulani ukanda wa pwani. Nimetokea kwenye familia za kiswahili, baadhi wamenielewa familia za namna gani. Naomba niende straight to the point ni hivi nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina yan...
  2. JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  3. JamiiForums Tanzania Namkumbuka Rafiki Yangu Gershom Chihota (1950 - 2023)

    NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU WA UDOGONI GERSHOM CHIHOTA (1950 - 2023) Kiasi cha kama siku tatu zilizopita nimepokea taarifa kutoka kwa Ally Max Marekani. Ajabu jinsi kifo kinavyoweza kufungua majalada ndani ya ubongo wa binadamu. Nataka kuanza na Ally Max. Ally Max ni mdogo sana kwetu hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu (34) anataka nimwambie binti yangu wa dukani (22) kwamba anampenda, hii ni sawa?

    Wala sina tatizo lolote binti wa dukani kuwa na mahusiano ya kimapenzi maana nae ni mtu mzima tayari mwenye kila sifa ya kupata haki yake ya kimahusiano. wala sina tatizo hata ikitokea rafiki yangu huyo anatoka na binti, ilimradi tu biashara iendelee. Tatizo linakuja kwamba huyu jamaa...
  5. JamiiForums Tanzania Sweta la baba yangu lenye historia ya maisha yangu

    Nimejiskia ku share hii sehemu ndogo ya maisha yangu ambayo sikua naijua kiundani mpaka hivi juzi kati. Twende pamoja. Nilifiwa na mama angu mzazi nikiwa darasa la kwanza 1997. Sikua naishi nae maana mama alikua mchepuko tu kwa mzee hivyo walishindwana mapema baada ya mimi kuzaliwa. Siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kipindi nina miaka chini ya 7 ningesikia baba yangu kafariki ningefurahi sana!

    Kusema ukweli kile kilikuaa ni kipindi kigumu sana kwangu na kwa kaka na Dada zangu, yaani ilikuwa kama ni panya na paka. Nilishuhudia kwa macho yangu mama zetu wakilala kwa Balozi na Mwenyekiti wa Mtaa savabu ya kipigo. Yaani dada zetu wakubwa na kaka zetu wote walitoroka mara kwa mara...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

    Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF. Hali ni mbaya, kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba, ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani. Naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa, nimeshindwa kuelewa nifanyaje!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  9. JamiiForums Tanzania Bajeti yangu ya mwisho ya Tanganyika

  10. JamiiForums Tanzania List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Ndio kusema huyu mama alifunika nyota yangu kwa uchawi?

    Nimejikuta usingizi unakata na kuruka kama mtoto. Baada ya kumaliza fomu six miaka 2000 siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu asubuhi ili tupige stori. Mama yake akaandaa chai ilikuwa, Dar maeneo ya Yombo Kilakala.. Basi wakati anatenga chai akaleta vikombe viwili cha kwangu na cha rafiki...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeigeuza Website yangu kuwa Application

    Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. πŸ‘‡ πŸ”— Home πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ πŸ‘ˆ WEBSITE Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali? What can I do? Help?
  14. JamiiForums Tanzania Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ngoja ninoe kadi yangu ya chama, 2025, tutapambana. Watashindana lakini hawatashinda. Same magharibi nakuja kuwa mkombozi wenu

    Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi ni damu Changa ya kizazi kipya. Kwa miaka nenda rudi Jimbo hili limekuwa na changamoto zile zile...
  16. JamiiForums Tanzania Mke kwaajili ya kaka yangu.

    Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hizi Ndoa naziona hivi peke yangu au tupo wengi?

    Mostly Ndoa nyingi ni mateso, wengi wanajuta tu. Kiu ya kugawa moyo wangu imepotea kabisa, nisije tobolewa tu bure πŸ₯²
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

    Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi. Kaka yangu anamke...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali yangu hii kweli nitaweza kudumu kwenye mahusiano? Madaktari wananichanganya kabisa

    Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na maisha, mwili wangu na vyakula na vinywaji navyotumia. Wanasema ni tatizo la kutokuwa na stress katika...
  20. JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuadhimisha Siku Yangu ya Kuzaliwa

    Rafiki yangu mpendwa, Leo ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwangu. Tarehe 06/06 ndiyo siku ambayo nilizaliwa, hivyo leo tarehe 06/06/2023 nimetimiza miaka kadhaa ya kuwa hai hapa duniani. Kwa miaka hiyo michache, nimejifunza mengi sana na pia nimekazana kuwa na mchango kwa wengine kadiri ya uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…