yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Jirani yangu amepata stroke familia inaamini ni jini hii ni siku ya tano yuko ndani haongei hawampeleki hospital.

    Je hii ni sawa? Je nifanyaje kuwashawishi wampeleke hospital? Nimejitolea ambulance wamekataa wanasema atapona kienyeji hilo ni jini.
  2. S

    NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    HABARI WANAJAMII, NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV. NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING UKUBWA WA ENEO 1600 SQM MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000 BEI 130 MILLION :-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
  3. Leo nimefunga biashara yangu

    Wakuu wiki iliyopita nilienda TRA kufunga biashara yangu baada ya kuona makadirio niliyoandikiwa ni makubwa mno na hayaendani na biashara. Mwanzo Nilienda huko TRA kuomba kupunguziwa kodi tawi lao la chanika ilala. Kama kawaida wakamtuma afisa wao aje akague biashara yangu ili aone biashara hii...
  4. K

    INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
  5. M

    Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu...
  6. D

    KIKUU mnachofanya sio sawa, bahasha tupu halafu mmesepa na 28,000 yangu

    Nimeagiza mzigo mdogo tu ili nipate experience ya Kikuu na niwe naagiza mara kwa mara. Matokeo yake nimeletewa bahasha yenye kibahasha kidogo ndani na haina kitu. Aliyeleta anasema yeye anafikisha vifurushi tu na hausiki kwenye kupakia au kufunga mizigo hivyo n iwasiliane na hao Kikuu...
  7. Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  8. Perfume zenye harufu nzuri kwa maoni yangu

    Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa...
  9. Msaada wadau simu yangu inasumbua google pixel

    Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
  10. M

    Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  11. Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  12. Kwanini post yangu ya stories of change ilifutwa

    Kama kuna sababu za kufuta mnijulishe lakini kufuta bila kutoa sababu yeyote naona si vizuri
  13. Namtafuta babu yangu

    Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
  14. SoC04 Tanzania katika miaka 25 ijayo, maono yangu

    Kuendeleza uchumi wa bluu wa Tanzania kwa miaka 25 ijayo, inaweza kufanyika kupitia miradi mbalimbali: 1. Uvuvi Endelevu: Kuanzisha na kutekeleza sera za uvuvi zinazolenga uhifadhi na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari. 2. Utalii wa Baharini: Kuendeleza vivutio vya utalii kama vile...
  15. L

    Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  16. L

    Nimetukanwa matusi ya nguoni na mtoto wa shangazi yangu

    Kwema wandugu Kuishi na watu kazi sana, kuishi na ndugu kazi sana Huyu kijana wa shangazi yangu ni mhuni, mlevi, mvivu, si muwajibikaji na hana, nidhamu. Namgharamia kwa vingi, kuanzia kumlisha, mavazi, malazi na kadhalika Kazi nimemtafutia mimi, nilitumia jina langu apate kazi ingawa hakuwa...
  17. G

    Simu yangu iliyoharibika nimeiweka ndani kwa miezi minne lakini kwa amani nayoipata sitamani tena kuitengeneza, peace of mind ni kitu muhimu sana

    Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae. simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne. Kwa sasa amani...
  18. Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wote mmeshajiandaa Kuzipokea hizi CHADEMA mbili zijazo Moja Original na nyingine Academia

    CHADEMA ORIGINAL Freeman Mbowe Godbless Lema Joseph Mbilinyi CHADEMA ACADEMIA Tundu Lissu Peter Msigwa John Heche Ni suala la muda tu na nawaombeni kama hamtojali wekeni Kumbukumbu ya huu Uzi kwani tayati Moto unawaka.
  19. Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
  20. Amani niliyopata kwa kuuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili

    Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia. Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…