yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

    Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe, Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Masters, Changamoto na Ushindi

    Mwaka juzi, kama mwezi wa kumi, nilikuja hapa JamiiForums kuomba ushauri kuhusu kusoma Masters mara tu baada ya kumaliza Degree yangu ya kwanza. Asilimia kubwa ya wadau waliniponda. Baadhi waliniambia, “Another jobless”, wengine, “Degree ya kwanza haijakulipa, unatafuta nyingine?” Lakini...
  4. S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    TV imetumika miezi 4, bei 1,200,000 Tu. Location: Jet Lumo (Dar es salaam) Contact: 0620813101
  5. U

    JamiiForums Tanzania Bado Hadi sasa najiuliza kwanini klabu yangu ya Yanga waliacha kumsajili Shomari Kapombe

    Niwatakie usiku mwema ila naamini walifanya makosa ya kiufundi kuacha kumchukua . Anyway mwakani wasirudie kosa
  6. JamiiForums Tanzania Mama yangu amenipeleka kwa mganga

    Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye pikipiki yangu niliyonunua wiki mbili zilizopita imenikanda.

    Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika. I don't blame anyone kwani kabla ya kununua...
  10. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafiti Dodoma, nakukaribisha tuijue Dodoma kwa undani

    Kupitia hapa nitaeleza kila kitu kuhusu Dodoma, picha linaanza kama fundi rangi nimekabidhiwa kufanya finishing jengo moja Chamwino Aiseee msiichukulie simple Dodoma uchawi upo, ni nyumba ya brother mmoja kutoka Mbeya (Ngoja nimpe jina, naomba tumuite brother Imma) Huyu Imma bwana kajenga...
  11. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA:SIWEZI KUINSTALL BLUESTACK KWENYE PC YANGU.

    Ni LENOVO mpya kabisa ila nikijaribu kuinstal inagoma.Mpka Bluetooth nimejaribu kudownload inagoma. Nafanyaje wakuu?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli wa yaliyonikuta. Sumbawanga siwezi sahau maisha yangu yongu yote

    Wadau huu ni mkasa wa kweli kabisa miaka kumi na nne imeisha lakini Bado majeraha hayakauka. KISA kinaendelea;Miaka hiyo nilipewa uhamisho kikazi Mkoani rukwa nikiwa Sina mke. wala Mwana. Nilipoambiwa naenda kwanza niliogopa kwenda lakini wenzangu walinambia...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nahisi ndugu yangu kaanza kuvuta bangi, Leo kataka kusimamisha gari kwa mikono, naanzaje kumshauri aache,

    Tulifikia sehemu nikamwambia apaki gari upenuni mwa barabara, nikashuka kwenda kununua makubwa. Yeye naye akashuka, sijui kupunga upepo au ku-scan anga Ghafla nageuka naiona gari inatembea yenyewe, Alienda mbele ya gari akaweka mikono akaanza kusukumana nayo, kakaza uso, mishipa imemtoka...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  17. W

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kamususa mke

    Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Tunakufa kila siku lakini kwa observation yangu kuna kipindi NI kama vifo vinafululiza na kufuatana

    Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako ndugu January Makamba

    Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…