yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

    Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani. Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga na wachezaji mna cha kujifunza kupitia hizi dharau na kejeli mnazo fanyiwa na timu ya Silver Strikers ya Malawi

    Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha kufundisha timu kubwa kama Yanga. Na matokeo yake tuliyaona kwenye mechi alizozisimamia. Moja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

    Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
  5. JamiiForums Tanzania Yanga mtapewa "Ladies Free" mpaka lini?

    Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na ladies free?! Kwa sisi Simba viingilia ni kama inavyoonekana
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mnapigisha shot ili Yanga itolewe hatua za awali, kubadili hamasa ya maandamano

    Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
  7. JamiiForums Tanzania Aziz Adambwile, overrated aliyetaka kuizamisha Yanga kisa ngekewa

    Nilipomkataa huyu tapeli wa mpira baada ya gemu dhidi ya Simba sc ambapo mashabiki maandazi wengi walimmwagia sifa za uongo niliishia kutukanwa , wapo walioenda mbali nakusema hatimae nimedhihirisha wehu wangu. Nakazia Tena, Aziz adambwile Hana uwezo wakuisadia Yanga kama namba sita...
  8. JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa kujifungamanisha na wadhalimu, siioni ikifanya vizuri tena

    Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki. Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa. Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa. Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
  10. JamiiForums Tanzania Yanga nawaomba msitishe mara Moja mpango wa kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar

    Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu Pili, Ogopa sana...
  11. JamiiForums Tanzania Folz amekufukzwa kihalali kabisa! Yanga bado ina nafasi ya kufuzu

    I salute you kinsmen Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki! Folz ameuharibu sana mpira wa yanga Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepoteza hela tena Mbele ya Yanga

    Nilitegemea ushindi wa 2-0 nikaishia kichapo cha 0-1. Sijui kwenye Yanga hii kosa liko wapi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, taifa halina Gen Z kama Kenya na Madascar? Au wao wanadili na Bongo fleva na Simba na Yanga?

    Dunia nzima sasa inaonekana watakaoleta mabadiliko ni Gen Z. Lakini kwa Tanzania wanawaza kujadili Singeli na bongo fleva. Huku Taifa lao likienda mlama kwa ufisadi, upendeleo huku maisha yao yakiwa hovyo kabisa Gen Z wa Tanzania hovyo kabisa kama makamasi ya ndama.
  14. JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  15. JamiiForums Tanzania TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Saed Ramovic siyo kocha mzuri kwenye kujilinda, Yanga msifanye kosa kumchukua tena

    Viongozi wa Yanga tafadhari sana, tena sana msifanye kosa la kumrudisha Saed Ramovic. Kumbukeni jinsi Yanga yake ilivyo kuwa shambolic in defense ikifanyiwa counter attacking. Ilikuwa wapinzani wakifanikiwa kupora mpira na kupiga long balls zinazofika kwa usahihi basi lazima wakamsalimie Diarra...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga tumeshaingia kwenye mtego wa wachambuzi uchwara tayari

    I salute you kinsmen. Rejea uzi wangu uliopita niliposhauri kuwa tatizo la yanga hasa ni mkurugenzi wa ufundi bwana Moalim aliyeondoka.. Leo najaribu kuelewesha deep sana. Well let's goo. Huyo bwana kitaalamu ni kocha kabisa na ana vigezo vya kusimama kwenye pitch line. Huyu alikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Mlio nizodoa niliposema huyo Kocha wa Yanga pamoja na Aziz adambwile hawafai , Leo hii Kiko wapi?

    Mimi mwehu ndama jitu la mtumba , ndio nilikua wakwanza kuzipinga mbinu za tapeli wa kifaransa"Roman Folz" na sikuishia hapo tu, nilienda mbali nakukosoa uchezeshwaji wa mchezaji Aziz andambwile, ambae binafsi licha ya magoli yake yakubahatisha nina amini ndie alikua tatizo kubwa la Yanga sc...
  19. JamiiForums Tanzania Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  20. JamiiForums Tanzania Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…