SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga.
Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira.
Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani.
Hivi ni kwa nini mlitamba eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA marambili mfululizo?
Tena tukijumlisha na next season itakua mara 4...
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
Kitawaka kesho wakati miamba miwili ya Soka la Tanzania Simba watakiwasha Dhidi ya Yanga. Mchezo ukipita ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi mnono, lakini hiyo kesho tutarajie mchezo huo kukamilika kwa Sare hasa sare ya goli moja kwa Moja
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafuatilia kwa karibu sana mchezo wa soka siku ya Jumamosi tarehe 20 Aprili 2024 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ni wa soka wa watani wa jadi kati ya klabu ya Yanga na Simba zote za Dar es salaam na...
Wasalam
Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu
Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga
KESHO ANAKUFA MTU.
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo toka kwa pande zote mbili za mashabiki, derby huu imekuwa na ulivuta hisia hata kwa watu wenye Karama...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali.
Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga.
Kuna kauli Nyingi...
Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly.
Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya...
Huu ndio Ukweli mchungu ambao wana Yanga hawaujui au wameupuuza.
Wale wanaokumbuka Simba iliyotaka kushuka daraja, ile ya akina John Makelele Zigzaga, Simba iliyokuwa Mbovu kuliko zote watanielewa.
WanaSimba wenzangu wote njooni Uwanjani.
Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
Ni muda wa kuweka kando tambo za Kimaskini , ni muda wa kuachana na ufukara.
Tukutane kwa khanjbay tupige hela, sio hela ya kitoto, tutapiga hela ndefu huku tukishangilia kono la nyani lililotutoa kwenye ufukara.
Enyi madogo, Frank Wanjiru, Labani og, Half american na wengineo tumieni fursa...
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE
Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!!
Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...