yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  3. baba aura

    JamiiForums Tanzania FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Leo kutakuwa na Sportpesa derby baini ya Singida vs Yanga FC mnamo saa 10:00 jioni CCM Kirumba. Ni mechi Kali ya kusaka pointi muhimu tena kwa Yanga na mwenyeji Singida. Kikosi cha kwanza cha yanga kinachoanza
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania April 20 Yanga atashinda goli 2+

    Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+ Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha Wafungaji wa yanga kati ya Mzize Mudathir Aziz.K Jgwede...... Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

    Yaani una Job na Fred halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Licha ya mapungufu ya Mayele ila pale Yanga kuna kitu hakipo sawa

    Kumekuwa na misuguano ya mara kwa mara kwa clabu ya Yanga dhidi ya wachezaji wake tena wakubwa tu. Morrison Feisal Mayele Bangala Shaban djuma Kwa mantiki hii inaonyesha kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kimkataba kwenye hivi vilabu vyetu. Kama hawa wachezaji wakubwa tu wanalalama vipi kina...
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  10. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa makolo

    Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !! Kuwa shabiki wa makolo ni...
  11. Revolution

    JamiiForums Tanzania Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
  12. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  13. Mr Global

    JamiiForums Tanzania Physics principal inasema sio goli, sawa Yanga!

    Tuliosoma physics tunasema Lile sio goli, kutokana na principal za physics...kama mpira ungezama wote possibility ya mpira kurudi uwanjani bila kugusa nyavu ni 0%
  14. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

    Kwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
  17. N

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi?? Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki...
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  20. ITR

    JamiiForums Tanzania Yanga songeni mbele acheni ushamba

    Katika siku mbili hizi kumekuwa na mjadara na gunzo kubwa kutokana na Yanga kunyimwa goli dhidi ya Mamelod ambalo wenda lingeweza kuivusha kwenda nusu fainal ya club bingwa Africa. Kwanza mm mwenyewe ni kili kuwa lile lilikuwa goli halali kwa uono wangu na Yanga walinyimwa goli, lakini hili...
Back
Top Bottom