Hongera Yanga na Hongera Eng. Hersi Ila leo umezingua

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,985
18,127
1716656385963.png

Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.

Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?

Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
 
Jezi inakusaidia nini?
Kikubwa anatoa burudani kwa wananchi.
Ukitaka maonesho ya kuvaa jezi nenda kwa Mangungo
Kwenye Branding and Marketing strategy hayupo sahihi hususani kwenye tukio la leo.

Rais ndio nembo na kielelezo namba moja ya klabu ama nchi, sasa kwanini aamue kuleta utambulisho wa timu nyingne?

Hakuwa sahihi kwa asilimia 100 kwa vazi lile siku ya leo.
 
Nilivoona nilishangaa sana but ndo hivyo anatupatia raha sa tutafanyaje.Kazingua
 
Huenda ni Kweli hayupo sahihi.... Lakini kuna muda inabidi ufanye kitu tofauti na kile watu walichozoea, maadam tu usivunje utaratibu uliowekwa.
 
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.

Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?

Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
Hata mimi sikufurahia, hasa ukizangatia kuwa Gamondi ni raia wa Argentina ambao ni wapinzani wa jadi wa Brazil kimpira. Yaani alsindiwa kupata T-shirt ya Ubingwa wa mara 30?
 
Back
Top Bottom