yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii siyo tetesi tena Kijana kasha sain mkataba wa awali Yanga Japo kuwa tajiri kasema kijana avunje mkataba kabisa alipe pesa Kisha asepe, lakin kijana amekataa anasema ngoja amalizie miezi yake sita iliyobaki ndo atue jangwani Karbu...
  2. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, TP Mazembe na AS Vita, Chico Ushindi afariki Dunia

    Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho uwanjani, Chico ameacha kumbukumbu za ari, kujituma na nyakati zilizowasisimua mashabiki wa soka la...
  3. JamiiForums Tanzania Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  4. S

    JamiiForums Tanzania FT' Coastal Union 0: 1 Yanga | NBC Premier League | Jamhuri Dodoma | 07 Dec 2025

    Jioni ya leo majira ya saa 1 na dk 15 Coastal Union watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Yanga SC.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa, Africa inawategemea na taifa linawategemea

    Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga! Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa aipotei Abadan,, Yanga kaonyesha kwa vitendo baada ya kupitia changamoto kidogo na sasa wanarudi...
  6. JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

    Mashabiki wa Yanga wamepigwa na Ubaridi mara baada ya Club hiyo Kongwe nchini Tanzania Kuzindua Jezi zinazofanana na matambala matambala Ikumbukwe msimu huu hawakutoa Jezi nzuri hivyo wananachama na mashabiki walikua na imani kuwa huenda za kuchezea club bingwa zikawa na unafuu lakini wapi...
  7. JamiiForums Tanzania Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  9. JamiiForums Tanzania Unahitaji funguo ya ushindi wa yanga kimataifa? Well ni hizi hapa..

    Wakuu i salute you kinsmen Mimi kama mimi mwenyewe nimafuatilia sana team yetu tangu mwanzo mwa msimu na mara kadhaa niligusia swala moja moja ila leo nitagusia yote yanayotukwamisha kwa namna moja au nyingine hapa. 1: KOCHA WA FITNESS. ndugu zangu tangu mwanzo ilionekana huyu kocha wa viungo...
  10. JamiiForums Tanzania Vilabu vya Mpira Vimetusaliti: Wapi Uzalendo Wetu Wakati Taifa Linalia?

    Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi. Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
  11. JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnampigia chapuo Gamondi yanga aje yanga mnazidi kuona uhalisia wake

    I salute you Wakuu Kama nakumbuka hapa kati wakati wa kocha Folz pale yanga watu wengi walikuwa wanashauri kuwa Gamondi arudi yanga tu haina haja ya kuzunguka Lakini shida ya Gamondi ile ile ndio iliwakwamisha yanga kumrudisha.. Tatizo la Gamondi ni hana subira hata kidogo yeye anajali pesa...
  12. JamiiForums Tanzania CAFCL Group Stage: Yanga yawekwa kundi moja na Al Ahly, Simba wapewa Esperance

    Upangaji wa makundi ya CAFCL umekamilika kwa Yanga kupangwa kundi moja ya Al Ahly wakati Simba itakuwa kundi moja na Esperance
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ns Simba zote mbovu, zitaushia hatua ya makundi

    Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi. Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili. Kwa sasa, hatuna timu za kushindana kimataifa msimu huu unless zinabadilika.
  14. JamiiForums Tanzania A deep analysis of yanga vs Silver Strikers..

    I salute you kinsmen Tumevuka makundi, tumeshinda Lakini kuna namna tujipange mapema sana huko mbele pagumu sana Dakika 45 za kwanza Yanga walionesha mchezo ambao tofauti kabisa na ule uliofanyika Malawi wiki iliyopita 1: Kulikuwa na kasi ya mchezo sana Wachezaji hawakukaa na mali ilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania WAFUATAO WAFUKUZWE YANGA SC HARAKA SANA

    Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga Mwamnyeto - mchawi
  16. JamiiForums Tanzania Yanga kumtambulisha coach Pedro Valdemour Soares, muda wowote

    Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team Coach Pedro...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana huyu ndiyo atatambulishwa kuwa kocha wa Yanga

    I salute you kinsmen Wakuu Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon,De Agosto na timu ya taifa ya Angola,Pedro Valdemar Soares Gonçalves (49). Pira Ureno linakuja Jangwani,now kwamba Pedro Valdemar Soares Gonçalves ni kocha mpya wa Yanga✅ Ikumbukwe kocha huyo...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila Je Yanga leo watapindua...
  19. JamiiForums Tanzania Leo nimeweka milioni 100 kwa Ushindi wa Yanga

    Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man who invented beer!"
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

    Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…