yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga 5-0 JKT Tanzania | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

    Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025 Mechi ipo live Salama zinatumwa Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  3. JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga jiandaeni kwa yote dabi, msiende na matokeo

    Kama Nabi na Gamondi waliwahi kufungwa na Ihefu, Tabora united na Simba kwa nyakati tofauti hata kocha Pedro anaweza kufungwa na Simba pia. Kama ikitokea hivyo haimaanishi Pedro hafai, hajui na anapaswa kufungashiwa virago vyake na kuondoka Yanga.
  4. JamiiForums Tanzania Oh my Lord, nahofu timu yangu ya Yanga kufungwa na Simba

    Kila dalili, hasa za ndani ya uwanja, yanga haiko sawa, inacheza shaghala baghala, wachezaji ni kama wamechoka, kila mtu analalamika. Kwa kifupi yanga haiko vizuri kabisa. Wa kutuokoa ni Mola tu
  5. JamiiForums Tanzania TFF wanatafuta kampuni moja ya ubashiri mechi ya Yanga na Simba ya Machi 1, 2026

    Hapa maana yake ni kwamba hakuna kampuni ya betting itaruhusiwa kuweka mchezo wa Simba na Yanga bila idhini ama kibali kutoka TFF, ambapo wao watamuuzia mtu mmoja tu na wengine wote wanapaswa kwenda kununua kwa aliyeuziwa haki za mchezo huo husika. ==== Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar, sisi Yanga tunajaribu kuwaheshimisha nyie mnaeta dharau kwetu? Mlichofanya si Uzalendo

    Mpo radhi muweke matches za huko Uk kwenye TV zenu kuliko ya ndugu zenu hapa hapa nchini? Sehemu nyingi za Public tumeona mkiwa mnaweka ligi ya Uingereza kuliko match yetu tunayochezs tena kwenu? Yanga tunajaribu kuiheshimisha Zanzibar ila yenyewe naona kama inakaza fuvu kubazi kabisa
  7. JamiiForums Tanzania Nimefadhaishwa sana na Yanga Kuishia Makundi

    Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo. Kosa la kwanza kubwa sana na...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  11. JamiiForums Tanzania SIMBA NA YANGA TURUDI TUMALIZIE RATIBA WAPENDWA ALL D BEST

    AHSANTEN KWA KUTUNYOOSHA MMEJUA KUTUNYONGOROSHAAA AZAAAWAISIII. TURUDN TUJE KUKAMILISHA RATIBAAAAA ALWAYS NXTYM NEVER GV UP
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wameharakisha mno kumtafuta mjenga uwanja

    Kabla ya kutangaza tender ya nani atafadhili uwanja wao na namna ya kugawana mapato ya uwanja na mwekezaji walipaswa kuwa BOQ ya uwanja na aina ya biashara zinazotakiwa kuwepo na namna mfadhili atakavyorudisha pesa yake. Vitu vyote hivi vingekuwa sehemu ya tender ili wafadhili wajue kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiroho; Simba na Yanga haziwezi tena kufanya vizuri kwa jina la Tanzania, nchi ina laana

    Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa. Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  15. JamiiForums Tanzania Mashujaa: Siku tunacheza na Yanga tulikuwa hoi kwa kushiba maana mchana tulikula nao

    Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada ya kutiliana saini wakapewa vyakula na vinywaji. Kwa kweli anasifia walikula sana na kufurahi...
  16. JamiiForums Tanzania Leo Yanga anashinda. Kesho Rasmi Simba anajihakikishia kutosonga mbele. Uwanja tuliuharibu

    Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar. Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata kwetu kwa matches za Kimataifa. Why? Una uchafu. Tulichofukia hatusemi ila nyie Mikia mtaona. Hamwendi...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  18. JamiiForums Tanzania FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

    AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Mpira umeanza Dakika ya 14...
  19. JamiiForums Tanzania Hersi Said wa Yanga akutana na IShowSpeed uso kwa uso

    Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na viongozi mbalimbali. Mmoja ya watu waliokutana na IShowSpeed ni Rais wa Yanga Engineer Hersi Said...
  20. JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

    Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final Mpira umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanafanya mashambulizi Dakika ya 15 Dube anakosa nafasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…