yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Eli Sasii ni bonge la Mwamuzi ila ana matatizo makubwa mawili ambayo kakataa kabisa kuyaacha

    1. Hupenda Kukinga Kote Kote (Kwetu na Kwao) 2. Hupenda mno Kulazimisha 'Derby' iwe na ama Sare (ya Magoli) au Suluhu (bila ya Magoli) 3. Huwa ni Muoga na ana Maamuzi ya Kujishtukia na Kutotaka lawama kwa Kote ambako amekinga Na najua Mechi ya Kesho kwa tabia zake tajwa hapa juu iwe isiwe...
  2. Alibino

    JamiiForums Tanzania Yanga biashara wanaijua kama ilivyo mpira

    Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana. Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la Mauzo ya Jezi, (biashara ya jezi ime booom) faida kubwa Bila Unafiki tunatakiwa kuwapa pongezi Sheria...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  4. brave one

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  5. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Yanga Digital Media acha kushambulia watu binafsi kwa maslahi ya Yanga

    Kupangaia mtu wa mwana habari aandike nini wapi saa ngapi kuhusu Yanga hii sio sahihi, endesha mambo ki ethical usiweke emotional binafsi wewe unawakilisha taasisi unapovamia mtu ni sawa tuone kua taasisi inavamia mtu na kushinikiza isikilizwe vile inataka. Kama mlimlipa sawa mna haki ya...
  7. This is...

    JamiiForums Tanzania Tamasha la yanga 4 august 2024: tamasha lililokosa mvuto

    HAYA NDIO MAAAJABU 15 YA YANGA BONANZA TAREHE 4 AUG 2024 1.Kuuza tiketi mlangoni wakati sold out 🤣 2. Kuingiza watu Bure uwanjani baada ya kuona mpaka saa 9 uwanja umedoda/ hawajajaa 3. Kushindwa kumpa million 150 alizoomba Diamond platmuz ili apafomu stejin 4.Kusherehesha watu zaidi ya...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siyo maneno yangu Gentamycine mwana Simba SC bali ni maneno ya Mchambuzi Oscar Oscar na mwana Yanga SC Mwenzenu

    "Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania. Imeisha hiyo. Kudadadeki. Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Day iliharibiwa na MC WATATU

    Kosa lililofanyika ni kuwaweka washereheshaji watatu ambao wote sio Professional. NI WAJUAJI SANA. Kitenge, Manara na Zembwela wanachojua ni kupiga makelele tu na kutumia maguvu kuongea, yaani ni vurugu mwanzo mwisho, baya zaidi they are very poor in TIME MANAGEMENT. Shughuli ya jana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  11. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi Yanga Day Ovyo Kabisa

    Tayari tumewazoea, ila hatukujua kama hamjabadilika. Hakuna tamasha la Siku ya mwananchi liliwahi tamatika bila vituko, malalamiko au majonzzi katika miaka ya hivi karibuni. Mwanzo tuliamini bado ni wachanga katika matukio makubwa kama haya. Ila umefanya matukio kama haya zaidi ya mara tano...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yapiga picha rasmi ya msimu kwa jezi za mazoezi

    Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake. Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba hii bado haina muunganiko, kataeni mnavyokataa ila ndio ukweli

    Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa. Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa. Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

    Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hawa wazeee wa Yanga watahazarishe naona watabeshwa mzigo mzito

    Hapo vipi. Kwa mpira waleo siwashauri yanga wawelete wale wazee uwanjani watakuja kuwasababishia kisukari na presha. Kwa mpira wa leo waliocheza Simba dhdi ya APR ilyoifunga Yanga juzi bao 3 kwa 1 naona Yanga watapasulia kama mayai pale uwanjani
  18. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba tumewaona. Naweza kusema mjiandae kisaikolojia, kupaki basi dhidi ya Yanga ndio njia itakayowanusuru Agosti 8

    Siku zote mpira ni sayansi na sio propaganda Wala mipasho, bado Simba wanayo kazi ya ziada kuijenga timu yao! Muunganiko na uwezo wa wachezaji waliosajiliwa bado ni mdogo sana, yule Joshua mutale anayesifiwa ni mchezaji machachari na sio mchezaji hatari. Hana tofauti na kisinda aliyekuwa yanga...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
  20. Dabil

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe na Manara nani atatangaza kikosi cha Yanga tar 4?

    Kuna mchuano mkali hapa, atakayetangaza nadhani ndo picha halisi kwamba ana nguvu kuliko mwenzake ndani ya Yanga. Hapo lazima kutakuwa na anguko la mmoja kati ya hao hapo Labda kuondoa sintofahamu atangaze Maulid Kitenge. Je, kwa mawazo yako nani atapewa kipaza sauti siku hiyo?
Back
Top Bottom