yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kombe pekee watakalobeba Yanga ni hilo la IST Cup

    Nasikis paredi imeandaliwa kabisa baada ya kutwaa IST Cup. Wanayanga watatembea vifua mbereee kunadi hicho kikombe ambacho wakifanya mchezo hawanyanyui tena kwapa msimu huu. Yanga bana. Waliyakejeli mashindano ya Kombe la Muungano kisa yalikuwa na timu 4 tu, wao wameenda kukenua meno na...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kamwe atangaza ratiba ya Wiki ya Wananchi

    Wakuu, Kumbe na kwenye soka kiki ni dili! … Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024) Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe arudishwa kwenye nafasi yake kama kawaida

    Post aliyoweka jana akiaga mashabiki kaifuta kwenye ukurasa wake, je ni kweli kaondoka tena au ni kiki tu za michezo ila alikuwa amemaliza mkataba wake na hivyo kuongezewa mkataba mwingine? Zaidi soma: Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani ==== Rais wa Yanga Eng. Hersi...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yanga kumrudisha Manara ni uchawi and destructive…

    with manara records of abuse. this the lowest yanga have gone. bad decision by the board and members. this is bad. we don't need uneducated fools in this modern era of football. Making 10 steps forward and 8 steps back. Manara will tarnish the Yanga brand immediately he is outed. They...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Toyota cup, Kumbe Yanga inaweza kuvaa logo nyekundu bila kupata mikosi.

    Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
  10. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Haji Manara, sisi mashabiki wa Yanga SC hatukutaki

    huu ni ujumbe wangu mimi mwanayanga halisi kwako wewe white haji manara : mzungu pori umekuwa chanzo cha chuki na fitina kila mahali ulipopita kama mfanyakazi , unasifika kwa kufitinisha watu makazini na kutaka kuwa katikati ya kila kitu kinachokuzunguka. umejawa sifa za kipumbavu na...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

    Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya. Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau. Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Kaizer waliamua kushangilia Young Africans

    Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila wanashangilia mpinzani. Hii ilitokea Santiago Benabeu Pale mashabiki wa Real Madrid walipo...
  13. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Yanga mnasubiri nini kuboresha logo yenu?

    Eng. Hersi hongera kwa kazi nzuri, ila designer wenu naona amejawa sifa mpaka kaharibu jezi sasa ni lini mtaboresha logo yenu iliyokaa kizamani kwa muda mrefu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga

    Kama kujiuzuru kwa Ali kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara . Ni bora Manara aondoke Yanga Thread hii sehemu ya kuzungumza ukweli ikiwa Aki kamwe kujiuzuru ili haji Manara achukue nafasi yake usiungaishwe na thread zingine.. Taarifa iliyopo sasa A Good dancer must know when to Leave a...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hapa JamiiForums mmemsikia lakini mwana Yanga SC Mwenzenu Mchambuzi Oscar Oscar kuhusiana na Jezi zenu mpya za Msimu huu?

    "Yaani kila nikitaka tu kusema Jezi za Yanga SC ni nzuri kuna Akili inaniija na kuniambia niachege Ujinga" Oscar Oscar.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball. Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief. Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4. Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
  20. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Makolo wenzangu tukutane hapa, tuendelee kujadiri jezi za Yanga au tujipange kuwakabili

    Kaizer Chief kafa 4 bila kwao, naogopa tuendelee kujadili jezi au tujadili namna ya kuwazuia wasitudhalilishe?
Back
Top Bottom