yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Diamond aichomolea Yanga, yashindwa kufikia dau lake

    Jamaa bana wakimuomba Diamond akapige show siku yao ya jumapili pale kwa mkapa, maana wao wanacheza trh 4 na sisi tunaanza trh 3 kuutumia, tunaujambiaaa halaf wao wanakuja kutumia kudadeki, basi walimuomba mzee wa Komasava akapige show, unajua alichowajibu. Aliwaambia anawaheshimu sana na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

    Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke. Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda. Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize kutumbuiza Yanga Day

    klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku hiyo ya wananchi. Huyu ni miongoni mwa wasanii wengi watakao tumbuiza siku hiyo, huu ni ushahidi...
  4. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Yanga mmesema Tiketi za VIP zimeshaisha, tunaomna mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure

    Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out. Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na...
  5. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mashabiki tumetimiza wajibu wetu kununua tiketi zote, tafadhalini sana naomba msituangushe, Yanga wao hadi supu za bure ndio wanajaa

    Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk. Hata hivyo mambo yote hayo...
  7. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Next Pre Season 2025/26 Simba vs Yanga kwa Neutral Ground

    Ifike pahali hawa Vibonde Yanga na Simba ipigwe mbugi hata kama ya pre season ama kirafiki kwa neutral ground, namanisha sio bongo lets say ngoma inapigiwa Kasarani huko ama kwa Madiba na ikibidi Ulaya Ulaya. Wanaogopana mbona wenziwe huko utasikia City anakichapa na Barca, mara Chelsea vs Man...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wa JamiiForums hii Mada ya Shilingi Milioni 200 kwa Mwaka inawauma na Ukiwauliza wanakuwa Wakali sana Kujibu?

    Hivi na wale mliowafunga kwakuwa walikuwa wanajikusanya kuanza Pre Season yao nao wanajua mmepokea 200M?
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Simba queens yasajili viungo kutoka Yanga princess

    kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
  12. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Yanga ihusishe Dini mbalimbali kwenye Dua yao ya Ijumaa

    Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu. Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira?

    Kitu kizuri ni kizuri tu. Lakini sio kwa hii jezi. Weka ushabiki pembeni ugundue hizi sio jezi za mpira bali ni vitenge. Kwa nini Yanga inatumia nguvu kuaminisha vitenge vinaweza kutumika kwenye mpira? Mara Daimond, mara Manara. Hii ni soka, sio sawa kuwavisha watu vitenge kwenye soka
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  15. excel

    JamiiForums Tanzania Kwa Hiyo Yanga Mmeingia mkataba wa milioni 16.6 kwa mwezi na GSM?

    Imenishangaza sana kuona Club ya Young Africans wanakubali mkataba wa kimangungo kabisa. 1 bilion kwa miaka mitano ni hela ndogo sana na sijui watanufaikaje nayo in a long run. Pesa ambayo kwa mwezi ni Milioni 16.6 tu.. This is too stupid for the club development
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Msimu wa 2024-25, zote Simba na Yanga zitafika fainali za mashindano ya CAF

    Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target. Kwa msimu unaoenda kuanza wa 2024-25, natabiri kuwa timu ya Simba itafika fainali ya CAFCC na Yanga pia itafika fainali ya CAFCL...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

    Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanachama yeyote anayeweza kumkataa Haji Manara Yanga vinginevyo umechagua kuikataa GSM

    Kaeni mkijua nyie utopolo kuwa Haji Manara hayupo Yanga kwa ajili ya mapenzi ya timu hiyo, yeye yuko Yanga kwa ajili ya GSM. GSM ndio inamlipa mshahara Yanga na mwenyewe amesema live kuwa ameongezewa mshahara hata wakati ule alipokuwa amefungiwa. Yeye Manara ni mtu muhimu sana ndani ya klabu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili

    Klabu ya Yanga Sc imemrejesha Ali Shaban Kamwe kwenye nafasi yake ya Umeneja wa Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo. Uamuzi huo wa kumrejesha umefanywa na Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji baada ya Kamwe kueleza changamoto...
Back
Top Bottom