yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

    Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

    Hii kitu inafikirisha sana🥲 Kazi ufanye na kampuni X Mafao ulipwe na kampuni Y
  3. D

    JamiiForums Tanzania Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

    the new young Africans graphic designer should be fired. what is this design?? nani ana ajili hawa watu??? angalia graphics zake. big brand what Is this??
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  5. anoldmedia

    JamiiForums Tanzania CAFCL | Kikosi Cha Yanga sc

    Hiki ni kikosi kinachoanza dhidi Ya Vital'O ya burundi kwenye Mchezo wa Leo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  7. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga ni Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  8. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  9. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipàtia Yanga goal lakuongoza hapa . Goal la kwanza kwa Yanga. 0-1 Dk 08' Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
  10. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Serikali haitirii Mkazo Michezo ya Olimpiki ila Yanga na Simba Ili kupumbaza wananchi

    Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m? Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanga hii wanawaza unbeaten sio ubingwa tena

    Ubingwa 💯 Hapa tunahaha kupata un beaten za maana
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Shabiki maarufu wa Simba Nabii Meja atangaza kuhamia Yanga rasmi

    Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga. Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga Jezi mpya safi sana, lakini tangazo la mgongoni limezichafua sana.

    Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni. Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni Yanga wamechukua nafasi nyingi sana za wazawa, patakalika kweli?

    Wachezaji wa Nje Waliojihakikishia Namba CHADRACK BOKA AZIZ KI CHAMA PACOME ZOUZOUA DUKE ABUYA YAO KOUASSI PRINCE DUBE BALEKE DIARRA AUCHO MAX Wachezaji wa Tanzania Waliojihakikishia Namba MUDATHIR YAHAYA CLEMENT MZIZE ANDAMBWILE JOB MWAMNYETO BACCA
  15. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

    Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  17. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

    Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  20. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Jemedari na Oruma wametubu kuwa Yanga ni bora.

    Muda wa kutubu ! "Unajiuliza ! Kama Azam mwenye quality hii anataabika hivi licha ya kuanza pre-season mapena, sijui zile timu zetu zinazoanza maandalizi 1/8 na usajili umejikita kwa wazawa tu itakuwaje!!! " ©️ Tigana Lukinja Mchambuzi wa Efm Radio. "Kwa jinsi nilivyoangalia mechi za ngao...
Back
Top Bottom