yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je Diara Djigui pale Yanga yupo kwa ajili ya Clean sheet pekee?

    Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia Nadhan huyu yupo kwa ajil ya kaz Moja TU yanga hasa kwa hz timu za madaraja ya Kati kwake kuruhusu gol kwake n kama n dhambi...
  3. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Yanga anafanyiwa hujuma ili kusudi Simba achukue ubingwa angalau mzani ubalance

    Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato. Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  5. JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  6. JamiiForums Tanzania Full Time: KMC 0-1 Yanga, Mei 6, 2026, Ligi Kuu Bara

    Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara. KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
  7. JamiiForums Tanzania Elimu ya mjinga ni majungu, Bora ukose mali upate akili, yanga wamedhihirisha KUKOSA KWAO AKILI

    Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani. TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachowasaidia yanga ni UCHAWI na siasa za watu Fulani wa serikali, ila Hawana UWEZO WOWOTE KIMPIRA.

    Huo NDIO ukweli. Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni. Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
  9. JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

    Match Day Kariakoo Derby Vikosi VINAVYOANZA. Updates... Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni... Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo. Wameingia kwenye nyumba ya pembeni... Sasa ni saa 11:18jioni DK 1 Mpira umeanza kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dabi ya Simba na Yanga kesho mashakani

    Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa. 'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mohamed Damaro si kiungo mzuri, anawachelewesha Yanga

    Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni...
  12. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kutoa sadaka kila wanapokutana ni sababu hasa?

    Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana. Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
  13. R

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

    MATCH DAY Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Yanga SC wanaingia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufananishwa nae

    Sifuatilii sana Ligi kuu yetu ila kwa hii rekodi, Yanga hana wa kufanishwa nae, na wanaweza kuweka rekodi mpya kushinda mara 7 mfululizo hadi 2028
  15. JamiiForums Tanzania Anaweza kuifunga Simba ni refa tu na sio Yanga

    Hapo vip! Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa wanamfunga Simba au wanasare na Simba mfano darby iliyopita Simba amenyimwa goli lake la halali na...
  16. JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 2-1 Azam FC| Muungano Cup| New Amaan Complex| Yanga anafuzu Fainali

    Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Updates zote utazipata hapa! Dakika 8, Mwanamfalume anaweka goli safi kabisa
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti imepangwa kutolewa kimkakati sana, Tupo muda ambao Simba na Yanga zinaweza kukutana Mara mbili ndani ya wiki, Muungano cup na Kariakoo Derby

    Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3 Kariakoo Derby
  18. JamiiForums Tanzania Yanga tuwashtaki na Aziz Ki na Shadrack Boka kwa kuichafua team yetu kuhusu matches zetu

  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga msimu ujao club bingwa boresheni point zenu walau zifike 9 sasa tumechoka

    Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia. Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
  20. JamiiForums Tanzania Kombe la CRDB: TRA United yaangukia kwa Mnyama, Yanga ikipelekwa jeshini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei. Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…