yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Singida Black Stars wanaweza kuanza kikosi cha Simba Yanga au Azam bila wasiwasi wowote ule

    Wa kwanza ni beki Trab, kuna Maroun Tchakei, Ibrahim Likeyeke, Arthur, Elvas Rupia na Damaro. Hawa jamaa wamekamilika sanaaaaa.
  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Jioni ya leo tunakwenda kushuhudia yanga akicheza na tawi lake tusubirie mchezo mbovu na upangaji mbaya wa kikosi mechi isiyo na upinzani!

    Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
  4. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate 📆 29.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  5. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  7. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

    Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi yake ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji. Nimekua shabiki kindaki ndaki wa mpira wa Tanzania...
  8. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Yanga tukatae hawa waamuzi wenye nia ya kutuchafua Kuna kitu wanatengeneza

    Lilianza goal la mkono jamaa alipiga ngumi kabisa. Mwamuzi akatupa lile goal. Jana ile haikuwa penalty kabisa. Kabisa haikuwa penalty tuseme tu ukweli bila ushabiki. Mwamuzi akatupa penalty. Lengo ilikuwa jana tushinde bao 5. Tunapambana kuwafikia mikia. Lakini tucheze na kushinda kwa halali.
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
  12. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Dodoma jiji

    1. Inawezekana kabisa Yanga imejipata, wachezaji wanacheza kwa nguvu na kujituma kama ilivyokua mwanzo, gari limewaka. 2. Kibwana Shomari ameendelea kuproove kwanini mashabiki walipiga kelele apewe nafasi ya kucheza. Aziz k amerudi. 3. Clement mzize ni winga hatari sana kwa sasa, ana kasi...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga Ya ligi kuu vs Yanga ya kimataifa

    Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni Yanga?
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Yanga leo Ushindi tunapata wa Kishindo hasa

    Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza. 1. Dube 2. Chama 3. Aziz Ki Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili. Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Maxime na minziro ni yanga lia lia tutegemee magoli ya mchongo na mechi mbovu kabisa

    Mecky maxime na fred felex ni wanazi wa yanga siku zote huwa wanagawa point za bure kuisadia yanga tutegemee magoli ya mchongo na mikono muda mfupi toka sasa!
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

    Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024

    Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande? Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD Usikose uhondo huo
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mpango wa "kuvidogosha" vilabu vya Simba na Yanga unaenda kufanikiwa

    Si muda mrefu uliopita vilabu hivi vikubwa vilikuwa na uwezo wa kujaza uwanja wa Uhuru au Mkapa hata katika mechi ndogo tu za ligi achilia mbali zile za kimataifa. Zikaja story za ukarabati wa uwanja wa Mkapa, wote tunajua hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Wakati huo huo uwanja wa Uhuru nao...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  20. De Opera

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha YANGA kinaficha udhaifu wa SIMBA SC

    Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu. Kwa kundi la CC...
Back
Top Bottom