yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Aussems alifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga

    Patrick Aussems na Denis Kitambi walifukuzwa baada ya kupanga kikosi kigumu dhidi ya Yanga kinyume na maelekezo ya viongozi wa timu. Soka la Tanzania ni takataka kabisa. Kampuni za betting angalieni kwa akili mechi za Yanga na mashoga zake, mtafilisiwa
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ninavyopiga pesa kupitia kinachoitwa 'Match Fixing' za Yanga

    Jana nilibet match moja tu ya Yanga na niliweka milioni nikijua Yanga atashinda, nikapiga hela yangu ya kunitosha kula wiki nzima. Kuna mechi ambazo huwa nina uhakika Yanga anashinda, kwa msimu uliopita pekee nimeniingizia pesa nyingi sana. Vijana acheni kulalamika tumieni hiyo fursa kupata...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

    Huyu jamaa hivi ana akili kweli? Huwa naona kama ni kilaza sana sielewi amewezaje kuwa naye anamitwa Mcha- Mbuzi.
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Singida Big Stars imekuwa nongwa.

    Wakati Singida ilipofungwa na KMC 2-1 wachambuzi wetu uchwara hawakumlaumu kocha wala kuhoji kwanini Singinda imefungwa na timu dhaifu sana kama KMC na wala hawakuhoji kikosi, lakini baada ya Singida kufungwa na timu imara sana na hodari ya Yanga wachambuzi uchwara na wapenzi wa Simba wanahoji...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa namna tunavyofanya Yanga, wacha wanifukuze

    Tufikie hatua tuwe wakweli tu. Hii michezo tunayofanya haijengi team na wala hatujui ubora halisi wa kocha. Tuambiane tu ukweli. Kwenda kucheza na teams ambazo tayari tumeshazinyong'onyesha kunatuondolea utimamu wa miili na akili tukija pambana na teams za ukweli. Tumefikia hatua sisi wengine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TFF na TAKUKURU waangalie hili suala la upangaji wa matokeo linalofanywa na Yanga wakishirikiana na washirika wao Singida Big stars

    Bila ya kupepesa macho suala lililifanywa hivi leo na Singida Black stars linaonesha viashiria vyote vya upangaji wa matokeo katika ligi kuu ya NBC nchini Tanzania. Yaani Singida BS wameanza na kikosi kwa kuweka nje nyota wake wote wapya ww kimataifa huku wakianza wachezaji wenye viawango...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida yaanza bila nyota wake muhimu dhidi ya Yanga, Marouf Chakei hayupo Kikosini kabisa

    Wakuu Singida Black Stars imefanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kinachoanza dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc katika dimba la KMC Complex. Wachezaji wazawa 7 wamepewa nafasi ya kuanza huku wakali kama Ande Cyrille, Arthur Bada, beki kitasa Anthony Tra Bi Tra, kiungo Morris Chukwu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki atosa Honeymoon na Hamisa Mobetto kisa mechi ya Singida BS. Je, kocha wa Yanga hawaamini wachezaji wengine?

    Wakuu Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars. Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

    Nimesikitishwa na kituo cha clouds FM kusema ati Yanga na SBS ni ndugu na wana jambo lao Moja Clouds FM ni media ambayo imejijengea heshima Kwa muda mrefu, kwanini Sasa inataka kujiondelea hiyo heshima Mmejiajiri media personnel wasio kuwa na waledi Yaani undugu wa Yanga na Singida BS unatoka...
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Max Nzegeli ni Chief of Staff wa Yanga

    Nimesikia Max Nzengeli akiitwa Mkuu wa Nidhamu, lakini cheo chake halisi kinatakiwa kuwa ni Mnadhimu Mkuu au Chief of Staff wa Yanga. Unaonaje hiyo? CoS Nzengeli
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

    Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars. Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi? Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa Vikosi vinavyoanza...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Yanga mpeni mkono wa kwaheri Aziz Ki. Imetosha!

    Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania. Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna...
  13. Dabil

    JamiiForums Tanzania Refa ashangilia goli la Yanga

    Naangalia magoli ya Yanga dhidi ya KMC jana imenishangaza kuna goli Yanga walifunga refa akashangilia.
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni nani anamjaza ujinga Baleke? Angeshukuru hata kukaa bench Yanga

    Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania KMC atake anafungwa asitake anafungwa - Yanga akipoteza point nipigwe Ban Week

    Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi. Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sisi KMC leo tunachapika na Yanga kinyama. Ni furaha kwetu kufungwa na Team kubwa kama hii

    Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv. Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  19. S

    JamiiForums Tanzania SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chotas Chama anaidai Yanga Mamilion ya pesa

    Naamini kabisa kuna watu wanafanya biashara kupitia hawa wachezaji. Chama huyu ndo alisajiliwa kwa zaidi ya Million 500? Kuna mambo yanaumiza sana wapenda mpira. Watu waliungiza Uongozi chaka.
Back
Top Bottom