Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.
Kupitia ukurasa...
Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.
Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo...
Rais wa TFF, Wallace Karia ni mwanachama wa Simba
Amekuwa dictator hapo TFF anatumika na timu ya Simba kuhujumu Yanga
Kwa maksudi kabisa akishirikiana na 5imba kukimbia mechi kwakuwa 5imba alikuwa na wachezaji wengi majeruhi
Yani Kwa uhuni huu Wallace Karia akahairisha mechi na kuitafutia...
Rasmi Yanga ni Mabingwa 2025 na Mabingwa mara nyingi zaidi wa kombe hili la Muungano. Napenda kuwakumbusha Viongozi, Wanachama wapenzi na mashabiki wa club hii kubwa zaidi Afrika Mashariki tusibweteke, Kombe hili lina historia mbaya ya kuwa na gundu ambapo mara nyingi mshindi wake huishia...
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate
Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba kuipeleka CAS
Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao kienyeji.zote huwa...
Sioni kama kuna team ya kuwazuia mabibwa wa kihistoria. Team yenye kikosi kikali, kipana na cha kutisha.
Nipigwe bani mirere kwa kweli ikitokea Yanga ikakosa hili kombe. Sioni ikilikosa. Sioni hata kwa mbali. Asilimia 100 kikosi kipo tayari na mazingira yamejengwa vizuri uwanja umeandaliwa kwa...
Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata...
Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa.
Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza.
Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection].
Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili.
Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli 1 - 0 alilopata kwenye mchezo wa kwanza pale Zanzibar.
Mechi hii itapigwa...
Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉
Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa.
Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote.
Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA
Angalizo:
Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.