yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Yanga kuandika barua ya kurasa 170; Serikali yasema haitaingilia Bodi ya Ligi na TFF

    Ninazo taarifa kuwa Klabu ya Yanga imeandika waraka wa kurasa 174 kwa serikali huku ikitumia wadau wake walioko serikalini. Waraka huo ni mwendelezo ya mashtaka yaliyotupwa na CAS. Pamoja na hayo serikali imetoa tamko rasmi kwamba haiko tayari kuingilia suala hilo kwa sababu ni kinyume na...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby. Wamemzuia kutoa taarifa za yanga o bila uthibitisho wa viongozi na aombe radhi ndani ya 24 hrs.
  3. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurudishwa uraiani siku moja kabla ya Yanga kutangaza kuwa watacheza derby

    Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU. Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama. Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wabunge mashabiki wa Yanga wasema 'Hatuchezi' akitambulishwa Hersi Bungeni

    Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Yanga walilikoroga na hapo lazima walinywe hakuna kumwaga!

    1) TFF anawatoto wengi hapa nchini pamoja na Yanga, hivyo Yanga anatakiwa amtii baba yake! 2) TFF lazima ioneshe uimara katika swala hili, wanatakiwa wazingatie Sheria wasipotokea uwanjani Sheria ifwatwe! 3) Nilichogundua viongozi wa Yanga wanapelekeshwa kwa Hisia na sio uhalisia! 4) Sasa...
  6. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zinazotenda dhuluma haziwezi kuifikisha ligi yetu kuwa namba 4 kwa ubora Afrika, Yanga mjitafakari

    Ukiisoma barua barua ya Yanga baada ya CAS kutupilia mbali shauri lao kwa mtu aliyeenda shule atagundua barua ile imeandikwa kwa mihemuko na makasiriko which is not professional. Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kushindwa tu kuelewa hawapaswi kuruka ngazi za kimaamuzi wakati hata form four...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga iwe klabu ya mfano kukatwa point 15 kwa mujibu wa kanuni

    Simba na Yanga hawapaswi kuwa juu ya sheria. Sheria hazina macho kwamba huyu ni mkubwa au mdogo. Hakuna sheria za Yanga na sheria za Pamba Jiji. Tarehe ya mchezo wa Simba na Yanga imeshapangwa iwe mvua iwe jua mechi itachezwa. Kwa sababu Yanga wamesisitiza hawaleti timu uwanjani, basi mamlaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka daraja kipindi cha uchaguzi? Hizi hasira za wanayanga watazielekezea kwa utawala uliopo

    Nasemaje...? Ole wake hili liwe kweli, utawala huu uliopo utajutia, utajiongezea upinzani zaidi kwa wanachi hasa mashabiki wa Yanga watauchukia na kuwa sehemu ya upinzani Naiomba serikali isiruhusu hizi akili za kijinga TFF kuishusha daraja Yanga! Na ikiruhusu hili litokee, basi kile...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

    Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka. Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

    Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja. Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki. Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Suala la CAS sisi Yanga tutakunywa Soup tu Nyama ya huyu Mnyama ni Kharamu

    Mi nadhani ni wakati sasa Yanga tususie Ligi nzima ikiwa ni kweli tunaona kuna uonevu katika hii Ligi ambayo inaongozwa na TFF na Board ya Ligi. Toka amekuwa Rais huyu jamaa Yanga hatujawahi fanikiwa katika Ligi. Miaka yote Simba wanapewa Ubingwa. Hata Makombe mengine wanabeba Simba tu. Tunaona...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja. Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby

    Uhuni wa TFF utapingwa Kwa njia zozote Sasa hao TFF kama wana uweZo waisushe Yanga daraja Karia afurahie awe na amani akiisusha Yanga daraja TFF ina upande kwenye hii kesi yaani ni sawa kupeleka kesi Kwa hakimu amfunge mwanae wa pekee Bodi ya ligi na TFF walisema sababu za kuhairisha mechi ni...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Simba ni moto wa kuotea mbali. Wakina Yanga wote watakoma miezi hii

    Yani acha kabisa bro, Simba Sports Club sasa hivi ni kama Ghetto Empire in red flames – timu iko active, iko organized, iko serious, ni kama vile FBI ya soka la bongo. Ukitaka mafanikio ya kweli, ukitaka stress-free football, njoo Simba... kuna levels bro, not vibes! Kwa sasa Simba SC ina...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga mkongwe: Yanga tulikurupuka hakukuwa na cha kupeleka CAS

    Kuna wale vidampa wa humu form four failures huwa tunawaambia hawana uelewa,akili na ufahamu wanakuwa wabishi badala ya kujikita tu na kusubiri mialiko ya soup pale Jangwani. Wapo humu watu hawajielewi na wanaofanya sisi Yanga wote tuonekane hatuna akili. Kumbe wenye akili tupo. Mabosi wa...
  17. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa Yanga SC Wameweka kibindoni (kabatini) makombe mawili, JE Simba SC Wana Nini?!!

    Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!! Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka, ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki)...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Siyo mwanasheria ila moja ya hoja zangu ndiyo zimeenda kuwashinda jopo la wanasheria wa Yanga huko CAS

    Toka day one ya sakata la derby na hatua ya Yanga kupeleka kesi CAS nilikuwa nahoji mara kwa mara inakuwaje unapeleka kesi ya rufaa wakati hauna nakala ya hukumu ya awali, nikajibiwa kwa jazba na mashabiki lia lia kuwa nisubiri nione. Nikaambiwa mimi ni nani nipewe nakala ya hukumu, wakiwa na...
  19. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Yanga wamesahau vipi mapema hivi kuwa Amis Tambwe alishaifunga Simba kwa kutumia mkono?

    Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby. Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga wangeenda CAS. Hilo ni moja kati ya vituko vingi ambavyo Yanga wamefanyiwa na marefa ikiwemo magoli ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TFF vs Yanga, Simba angedroo Yanga angechukua ubingwa bila Derby

    Kuna mvutano na vita kubwa kati ya Yanga na TFF, kwani Yanga ilisema haitacheza mchezo wa Derby , ambapo TFF anafanya Kila namna , na Kila hujuma Ili Derby ichezwe Kwa namna yoyote Ile. Hivyo Kwa matokeo ya Leo, isingewezekana TFF wakubali Simba apate draw ,hivyo Kuna uwezekano mkubwa Refa...
Back
Top Bottom