yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

    Leo kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye viunga vya Cairo..na hiki ndio kikosi cha Yanga kitakachoanza ====== Waarabu wa Misri Waibana Mbavu Yanga Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naamini Yanga wanaenda kuwaduwaza wengi leo

    Kabla ya yote niwaambie wale wanaobet wasiwe na hofu kabisa Moja ya mechi ambayo itawaduwaza washabiki wengi wa soka basi ni hii ya leo dhidi ya Mwarabu ambaye anaenda kupigwa kwao. Leo weka hata MKEO Yanga hafungwi abadani. Nitarudi hapa baada ya mechi. Leo ni siku ambayo Fowadi ya Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

    Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa.. Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara. Nilichokua nahisi...
  4. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu hivi tunamuelewa vyema makamu mwenyekiti wetu kwa hizi kauli zake za kushangaza na kushtua?

    Anaseme kwamba.... " Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ". Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwadui FC chezeni kama mlivyocheza na Simba SC jana pia mkicheza na Yanga SC ili mbebe Kombe la VPL kabisa

    Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo za hapa Mgodini ili mbakie Ligi Kuu? Ombi Kuu kwenu ni kwamba nawaombeni nyie Mwadui FC kuwa hata...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga usajili wa wachezaji ndio unawaangusha

    Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa. Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa. Mchezaji kama Ngassa ni wa nini kumsajili? Umri umemtupa na hata mchezo anaouonyesha ni kiwango cha chini...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Poulsen kumng'oa Zahera Yanga ?

    Hii kitu imekaaje wakuu ?
  8. JamiiForums Tanzania Lipumba alifuata nini uwanjani?

    Huyu mtu aliyoyafanya nchi hii hamkutakiwa kumruhusu kutia pua uwanjani .
  9. JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

    Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho...
  10. JamiiForums Tanzania Mchezaji mahiri na muhimu Yanga SC Kelvin Yondan akosa mazoezi kisa 'chai' huko mkoani Mwanza

    Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa. Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya wachezaji wa timu tajiri nchini ya Simba SC kukabidhiwa pikipiki, hivi ndivyo mchezaji wa Yanga SC Fei Toto alivyopewa makavu yake

    Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa Msimu huu Yanga SC hasa baada ya Kusikia kuwa Rafiki yake huyo pamoja na Wenzake wa Simba SC leo...
  12. JamiiForums Tanzania Huenda huyu ndiye akawa mwana Yanga SC mwenye ' Akili ' kubwa kuliko wengineo na ambaye pia ninamheshimu na kumkubali

    " Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio...
  13. JamiiForums Tanzania Njaa kali klabuni na kutoheshimu 'utaalam wa kiufundi' wasababisha wachezaji muhimu wa Yanga SC kupata majeraha makubwa

    Tukiwa tunawaambieni kuwa mna njaa halafu hamna 'wataalam' wa mpira katika klabu yenu ya Yanga muwe mnatuelewa kwani ni aina yenu ya 'ubishi' ndiyo ambayo imekuwa 'ikiwagharimu' na hatimaye mnajikuta mnafanya vibaya katika mechi zenu mbalimbali kisha mnadai Simba SC inabebwa wakati si kweli...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa timu ya Yanga

    Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao. Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…