Nimejitihibitishia pasina shaka kuwa kuna hali fulani ya kuchanganyikiwa pale Utopolini.
Usijekuta wamechanganyikiwa kwa madeni katika michezo, wameibiwa na kijumbe wao halafu wanakuja huku kutuvuruga kwenye mpira wanatuimbia Hatuchezi, Hatuchezi! Embu tuwaulize vizuri, mchezo upi huo hawataki...