yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

    Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer. Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
  2. JamiiForums Tanzania Manara: Kama uhuni huu wamefanya, tumesema Hatuchezi

    Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara katumiwa email yuko negative. Tumesema hatuchezi, kama uhuni huu walioufanya, hatuchezi. ==========...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yanga ya usukumani ?

    Hivi eti kuna siri gani ya wasukuma wengi kuwa mashabiki wa Yanga ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM wazipongeza na kuzitakia heri KMKM, Mafunzo, Azam, Biashara & Yanga kwenye mashindano yao ya Shirikisho & Club Bingwa Afrika

    Kazi iendelee | Soka liendelee, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan. Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

    Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo? Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF...
  6. JamiiForums Tanzania Nabii Daudi Mashimo: Yanga kufanyiwa maombi

    [emoji4][emoji116]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea mpaka 25/9/2021 ITC hazijafika, wachezaji wa Yanga watacheza!?

    Naomba nitolewe tongotongo. Vipi ikitokea mpaka tarehe 25/9 ITC hazijafika kwa wachezaji wale wa3 wa Yanga je, watarusiwa kucheza mechi dhidi ya Simba ya ngao ya hisani!!!?? Nawasilisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli bhana....!!!

    "Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza" Chanzo: Sports Extra Clouds FM Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli...
  9. JamiiForums Tanzania Rivers waifunga Enyimba, Yanga nendeni mkatalii tu

    Mechi ya kirafiki ya kujiweka sawa tumeichapa Enyimba 2 bila. Jumapili tunawasubiri watalii tuwafunge 3.
  10. F

    JamiiForums Tanzania River united kuonesha wapo serious. Walivyorudi tu kwao wamecheza na enyimba mechi ya kirafiki. Yanga tumepumzika tu

    Yanga yangu why haipo serious kama wapinzani wetu. Wiki nzima hatuna hata mechi ya kirafiki. Mnyama alikuwa na timu nzuri ila alipumzika wiki nzima akaenda kushtukizwa 4 kwa 0 pale soweto msimu uliopita. Na sisi yanga hatujajifunza tu kwamba kupumzika muda mrefu kunafanya wachezaji wawe...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro. Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar). "Tumeamu...
  12. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Yanga Mechi Ligi Kuu Tanzania bara 2021/2022

    Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi zote za Yanga msimu wa 2021/2022,Mechi za Yanga leo TPL Baadaye nitapost Ratiba ya mechi za Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Vikosi vya Simba na Yanga na jezi namba zao 2021/2022

    Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. 🙏🙏🙏
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yanga wameacha kusema Wana watu, wanasema wamekodi Ndege. Jumapili baada ya mechi watakuja kauli mbiu gani?

    UTANGULIZI Timu ya Yanga imeamua kukodi Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania kwenda Nigeria, lakini tukumbuke mpira siyo uzuri wa lifti kuelekea uwanjani Bali mpira na mbinu na ujuzi. Mchango wa pipa la kukodi wakati walishindwa kutumia uwanja wa nyumbani ni mdogo Sana kwenye ushindi isipokuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

    Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha huko Nigeria waendako Yanga SC kwa Picha ambayo Msemaji wa Rivers United FC aliyepigwa Rungu Utosini ameisambaza Mitandaoni

    Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la Kisaikolojia la Kwanza kwa Yanga SC. Muda si mrefu Msemaji huyo wa Wapinzani wa Yanga SC wanaorudiana nao...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga wamechanganyikiwa, oneni hili tangazo

    Kupitia ukurasa wao wa Twitter, klabu ya Yanga imetoa tangazo kuelekea Nigeria siku ya Ijumaa na Kurudi Jumapili baada ya mechi. Yanga wamewaomba mashabiki wao kuwasapoti kwenda Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Rivers United kupitia ATCL. Sasa mtu atatoaje kiasi chote cha hela...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga ni Engineer Hersi ..wamuangalie anawaangusha

    Hivi Yanga mmempa kazi ya kusajili wachezaji na makocha huyu Engineer Hersi kwa kigezo kipi? Kwa sababu ukiangalia hana uzoefu wa kutosha katika sekta hii. Huyu mtu anasajili wachezaji almost wote free agents na mbaya zaidi ni wachezaji ambao asilimia kubwa sio wa kuweza kuipa yanga ubingwa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga SC na wana Yanga Tanzania si mnajifanya mnajua Fujo na Ubabe, sasa Kisasi chawasubiri huko Kwao Rivers United FC Nigeria

    “Tumefika salama nyumbani na leo au kesho tunatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Enyimba. Wachezaji wetu (4) na viongozi (3) waliokutwa na Corona wako salama na hakuna mwenye maambukizi nadhani zilikuwa mbinu chafu za wapinzani wetu. . “Bado wagenyi wetu (Yanga) hawajatupa taarifa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana kwa wachezaji wa Yanga

    Kwanza niweke wazi mimi ni shabiki WA Yanga. Jana nimeangalia Ile mechi yote nikagundua yafuatayo kuhusu wachezaji wetu. 1. Mukoko: huyu kiungo maridadi nmegundua anaonekana kama Hana furaha kbs uwanjani ni kama anacheza basi Tu Ile hamasa aliyokuwa nayo msimu uliopita na happy face haipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…