Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli bhana....!!!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza"

Chanzo: Sports Extra Clouds FM

Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli siku hizi nawe umeanza Kunywa Kunywa Gongo au?

Yaani Safari yenu ( ya ) Yanga SC katika Michuano ya CAF CL kwa Msimu wa 2021 / 2022 inaenda Kuishia ( Kuhitimikia ) katika Mji ( Jimbo ) la Port Harcourt nchini Nigeria ambapo mtafungwa na Rivers United FC halafu bila hata Aibu unasema Klabu ya Yanga itaendelea kuvitangaza Vivutio hivyo Kimataifa.

Nami Mightier nikiwa kama Mzalendo kabisa nawatakia Rivers United FC Ushindi mnono.
 
Hatari sana
IMG-20210917-WA0039.jpg
View attachment 1942592
 
Nami Mightier nikiwa kama Mzalendo kabisa nawatakia Rivers United FC Ushindi mnon

"Tumeamua Kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika hii Royal Tour yake kwa Kuutangaza Mlima Kilimanjaro na Kisiwa cha Zanzibar na kuanzia Mechi ijayo dhidi ya Rivers United FC na nyinginezo za Klabu Bingwa Afrika tutangaza"

Chanzo: Sports Extra Clouds FM

Ndugu yangu ( yetu ) Hassan Bumbuli siku hizi nawe umeanza Kunywa Kunywa Gongo au?

Yaani Safari yenu ( ya ) Yanga SC katika Michuano ya CAF CL kwa Msimu wa 2021 / 2022 inaenda Kuishia ( Kuhitimikia ) katika Mji ( Jimbo ) la Port Harcourt nchini Nigeria ambapo mtafungwa na Rivers United FC halafu bila hata Aibu unasema Klabu ya Yanga itaendelea kuvitangaza Vivutio hivyo Kimataifa.

Nami Mightier nikiwa kama Mzalendo kabisa nawatakia Rivers United FC Ushindi mnono.
Yanga itakutesa sana ndugu yangu ni bora uwe unatumia dawa za maumivu maana sio kawaida hii
 
Back
Top Bottom