yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

    Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa. Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
  3. JamiiForums Tanzania Safi sana Kipa Johora kwa kuwakomesha leo Wanafiki Wakubwa Yanga SC na Kukubali Kufungwa Kiulaini zile Goli 9 za Penati Zanzibar

    Yaani wameshakudharau kwa kukuletea Kipa Mwenzako Msheli ambayo Kwako bado ni Kinda na hata hakufikii Kiuzoefu halafu muda mwingi huwa hudaki na leo wasivyo na hata na aibu wakata ukawabebe katika Mikwaju ya Penati na Wewe ukawa unaruka Ushahidi tu. Johora Mola kakulipia Machungu yako.
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umekaa kishamba sana

    Hizo likizo mngewapa wote basi maana haiwezekani wachezaji wanatoka kula bata wanapasha siku moja wanaanza first eleven...huu upuuzi hauvumiliki tena hauna tofauti na ule ujinga wakuweka kambi morroco siku 2 huku ukijua unamechi za club bingwa.
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yavuliwa ubingwa wa Kombe la mapinduzi

    Habari ndio hiyo....πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
  6. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Yanga Princess

    Jana kulikuwa na Darby ya wanawake Yanga princess vs Simba Queen. Simba iliweza kuibamiza Yanga kwa mabao 4. Kitu nilichokiona wachezaji wengi wa Yanga princess wamekomaa sana nyuso zao zimefubaa. Huku wachezaji wa Simba Queen wanaonekana wazuri na nyuso zao zinapendeza. Nauliza tatizo ni nini...
  7. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wote wa JF msijifanye hamjamsikia aliyewawekeni Mfukoni mwake Injinia Hersi Said hasa juu ya hili......

    "Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa yanga kwenye hili la timu ya wanawake mmelala usingizi wa pono amkeni mnatuaibisha

    Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
  9. JamiiForums Tanzania Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

    Habari Jf Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale Haji yule wa simba aliyehamia...
  10. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi linathibitisha namna Simba na Yanga zinavyobebwa na waamuzi wa Bara.

    Ile haki bin haki inayofanywa na waamuzi wa Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ndio inayokosekaana kwenye ligi ya Bara. Kama refa angetoka Bara Yanga na Simba zingepata matokeo mazuri sana dhidi ya timu ndogo za Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi. Mungu awalaani waamuzi na watu wote...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni uchawi unaotumiwa kupumbaza akili za vijana Watanzania

    Ndugu wanabodi naweza nisiekewke kirahisi kuhususiana na hii hoja yangu, lakini nimekaa na kutafakari mambo kadhaa: Mijadala inayohusu mpira wa miguu hapa nchini imekuwa mingi na inachukua muda mwingi sana, ina wafuatiliaji wengi na wachangiaji wengi. Na kwa kulifahamu hilo ndio maana...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

    Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
  13. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani Simba anaweza akaingia kwenye First Eleven ya Yanga?

    Heri ya mwaka mpya wanamichezo! Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
  14. JamiiForums Tanzania Yanga hii naifananisha Barcelona ya 2008-2011

    Tunamfunga yoyote huku tukicheza sex football Yanga hii inafanana sana na Barcelona bora ya Guardiola ya 2008-11 Yaani nikimtazama Mayele ni Eto'o mtupu, wakati Dickson Job ni Puyol. Sasa ukija kwa huyu Aucho ni Xavi kabisaaa huku Feitoto akirandana kabisa na Iniesta. Yanga hii ni bora na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  18. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu napendekeza Uongozi wetu uachane na akina Aucho, Bangala na Kipa Diara kwani hawatufai na hawana jipya

    Nashauri wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums na Uongozi wa Yanga SC hadi Matajiri wetu GSM kuwa tuachaneni na hawa Wachezaji Aucho, Bangala na Kipa Diara kisha tuwavizie Wachezaji ambao Simba SC inaenda kuwaacha akina Nyoni, Wawa na Mugalu kwani kwa Yanga SC hii yetu iliyokosa Ubingwa miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Inasemekana Azam na Yanga nazo zina wagonjwa wa "mafua makali"

    Habari zinazozunguka mtandaoni kwa sasa zinasema kuwa klabu ya Yanga na Azam zina wagonjwa wa mafua makali na homa ambapo zinaweza kupelekea wachezaji hao kukosa mechi za ligi kuu zinazowakabili. Kocha wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema kuwa kuna wachezaji wagonjwa klabuni hapo kuelekea mchezo...
  20. JamiiForums Tanzania Aina ya uchezaji wa Kibu Denis na Morrison hauna msaada kwa Simba yenye njaa na mataji

    Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake. Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…