yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga tunahujumiwa sana

    Mayele alipaswa awe ndo mfungaji bora. Inashangaza kabisa huyu George Mpole nani yupo nyuma yake? Ni hujuma zinafanyika ili ufungaji bora asipate Mayele. Na ndiyo kisa cha TFF kutengeneza kombe baya ili tu tuchekwe.. hii yote ni sababu Karia ni Simba. Hizi ni hujuma. Kwa nini watufanyie hivi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga shangilieni na muungane na watanzania kufurahia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa!

    Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
  3. JamiiForums Tanzania Young Africans (Yanga) SC to the world

    Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla.... Kongore wananchi..... 💪💪💪
  4. JamiiForums Tanzania Je, walioibiwa na kuporwa Juzi wakati wa Maandamano ya Yanga SC wakashtaki kwa nani?

    Nimehudhuria mara nyingi 'Mapokezi' Makubwa ya Simba SC, ila sijawahi kusikia Watu wakiibiwa kama ya Yanga SC juzi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili Morrison ni kula matapishi yao na ni ishara ya kukubali udogo wao

    Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo sana so to me kuona yanga leo wanamtaka tena kwa kweli ni ishara ya kukubali udogo wao dhidi ya simba . Simba wanachukua mchezaji kutoka Yanga akiwa kwenye top form wakati Yanga wanachukua walioachwa Simba . Timu kubwa haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki mchezaji...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano yale ya Yanga hayafanani na timu isiyokuwa na uwanja wake

    Tumetia fora sana duniani kwa aina Ile ya kushangilia ubingwa, lakini waliotupongeza wanafahamu kuwa Yanga Haina uwanja wake yenyewe pamoja na kuanzishwa 1935? Mara nyingine kila Senti ya baada ya uendeshaji wa timu iende kwenye kuwa na uwanja wetu wenyewe, ni aibu kubwa.
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: Yanga andaa mechi nne za kirafiki na timu za nje

    Mechi za kirafiki za kimataifa kwa timu ya Yanga ni muhimu kama ilivyo chumvi katika pilau. mechi hizo zitampatia kocha kujua mapungufu ya ufundi na vile vile mashabiki kujenga imani na timu katika mechi za mtoano ambazo haziko mbali na pwani ya bahari. Naomba sana yanga ialike timu...
  9. JamiiForums Tanzania Harmonize kafunika sherehe ya Yanga leo

    Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana. Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga. Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize. Hongera sana...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga fanyia kazi suala la umiliki wa mpira

    Pamoja na kuchukua ubingwa msimu huu timu ya Yanga haina ufundi wa kumiliki mpira. Viungo wa Yanga haoneshi kabisaa uwezo mkubwa wa kumiliki mpira ili wawavute mabeki watoke golini , waende pembeni na kuachia vyumba ili wafungaji washambulie vema. Vile vile jinsi beki inavyojipanga katika...
  11. P

    JamiiForums Tanzania FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

    Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

    Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
  13. JamiiForums Tanzania Yanga kuomba CAF waanzie ugenini!Ama kweli hawa ni Utopolo

    Timu underdog inaipangia CAF ianzie ugenini
  14. JamiiForums Tanzania Yanga mjitathmini na ubingwa wenu wa kihistoria

    Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si mchezo yani kiufupi walihenya hivyo basi kwa heka heka hizo hatuna budi kuwapongeza. .mimi Simba dada...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya maudhui ya Redio, TV na mitandao Tanzania ni Simba VS Yanga, Muziki na Umbea kutwa nzima

    Ukisikiliza au kutazama vyombo vya habari vya Tanzania utagundua "serious stories" ni chache sana licha ya kuwa na utitiri wa vyombo vya habari kuanzia "main stream media hadi TV za mtandaoni. Kuna mambo mazito yanayoendelea nchini na yanahitaji mijadala mizito. Mfano: 1. Katiba mpya 2...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa hapa wapinzani wa Yanga michuano ya CAF champions league

    Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita. Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje...
  17. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Basi la shule laua Mwanafunzi muda mfupi baada ya kumshusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Dereva wa gari la shule ya Msingi Samuu, Kassim Said Mahona (40) kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi wa shule hiyo Godlight Chisawilo (04) kwa kumgonga na gari la shule hiyo Mjini Shinyanga. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mwanafunzi huyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  19. JamiiForums Tanzania Ligi ya Morrison na Simba kwenye suala 'Release letter' imefikia patamu

    Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua. Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga walikua sahihi kujitoa kwenye shindano la nani zaidi

    Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…